Kikwete awachanganya wapiga kura | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete awachanganya wapiga kura

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mchonga, Oct 12, 2010.

 1. mchonga

  mchonga JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2010
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,250
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kwa nini kikwete anapingana na matamshi yake?

  Hii imekaaje Wana JF?
  KAULI YAKE KWA WANA CCM "SUALA LA URAIS NI SWALA LA KIFAMILIA"
  KAULI YAKE KWA WATANZANIA " MSICHAGUE MTU MCHAGUE CHAMA"
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,748
  Likes Received: 416,592
  Trophy Points: 280
  JK tumwonyeshe upendo kwa kumfukuza kazi ya Uraisi ili akafanye kazi nyinginezo atakazoziona zamfaa.
   
Loading...