Hahaha niliona hiyo kitu, mara naiona na comment yako! Kweli uongozi kazi na ikulu si mchezo, alisema Nyerere! Nahisi expectation za mkuu zimekuwa tofauti na hali halisi.Mkuu, hiuo picha ya kwanza ukitazama nywele za mh raisi ka vile zinapukutika kichwani! Amechoka sana. Uongozi ni kazi nzito
Sema kiazi mimi mhogo nitaambiwa nina mizizi. Mijitu mizima na uzima wake inakuwa tegemezi utafikiria kupe. Watanzania tupo zaidi ya mil 40 halafu wote tuwe useless mpaka tungojee watu watatu watoke ulaya na tuwashangilia kama ndio malaika ameshuka toka juu? Na kibaya zaidi vinara wa kadhia hizi na rais akiongoza mawaziri na miji-bunge inapiga foleni kama midume ya ngedere just kuwalaki watu watatu eti wakombozi....? ndo maana nasema kila siku ... wacha tuzidi kuitwa manyani ni haki yetu...Wawekezaji ndio kitu gani? Hakina mwekezaji yeyote anayeweza kumkomboa Mtanzania. Wawekezaji ni wakoloni tu kama akina Karl Peters; wanyonyaji waliojaa ghiliba.
Sema kiazi mimi mhogo nitaambiwa nina mizizi. Mijitu mizima na uzima wake inakuwa tegemezi utafikiria kupe. Watanzania tupo zaidi ya mil 40 halafu wote tuwe useless mpaka tungojee watu watatu watoke ulaya na tuwashangilia kama ndio malaika ameshuka toka juu? Na kibaya zaidi vinara wa kadhia hizi na rais akiongoza mawaziri na miji-bunge inapiga foleni kama midume ya ngedere just kuwalaki watu watatu eti wakombozi....? ndo maana nasema kila siku ... wacha tuzidi kuitwa manyani ni haki yetu...
ccm wanafanya mambo kama tamthilia vile,hapo lengo lao ni kumaliza serikali ya mseto zanzaibar ifikapo 2015,hamad atapata support sana kutoka ccm na wale wanaodharau kuwa anapoteza muda wanajidanganya!!ataipasua cuf then ccm watashinda kiurahisi,kumbuka tofauti ya ushindi wa wazanzibar uwa ni kura chache sana hata elfu 10 hazifiki,na hamad akianzisha chama hawezi kupata watu wa ccm atawachukua wa cuf hiyo hiyo,na hamad akianzisha chama kamwe hawezi kukosa kura 50,000 kwenye uchaguzi mkuu na hizo zitakuwa iliyikuwa cuf na hapo ccm itashinda kwa kishindo.
kama kawaida yako na chuki zisizo na mpango, ulitakiwa utizame bunge session ya asubuhi then ukoment huo utumbo wako hapa. Honorable Hamad Rashid always ni mtu wa principles hawezi kuacha majukumu yake kama mbunge eti kisa tu anahofia kelele za wapumbavu kama wewe, skia kwa taarifa yako Hon. Hamad R. ameleta investor ambao baada ya president kupata data zao akahitaji kuwaona...VP una la ziada?!
NON SENSE
Mkuu, hiuo picha ya kwanza ukitazama nywele za mh raisi ka vile zinapukutika kichwani! Amechoka sana. Uongozi ni kazi nzito
Duuu!! ama kweli siasa si hasa...
ya ngoswe muachie ngoswe..
hamad == shibuda?
Hapo aliyekosekana ni Shibuda
HAMAD RASHID sialikua CCM B sasa kwanini asilalamike mbele ya mwenye kiti wao....weunafanya mchezo nini yani MAMA(CUF) akikuwakia siunamshitaki kwa BABA(CCM)....Ila sijajua protocal imekaaje ampaka nae aruhusiwe kumpokea RAIS....Yani ni fujo tupu
tiss in action
Waliokuwa na mashaka na maamizi magumu ya CUF, see with your own eyes!
Mwacheni yakhe ! Awasemee walomtenda akina maalim seif kinyume na walivokubaliana na ccm !
Muulizeni alipokwenda pemba peke yake na ndege ya atc nani alilipa gharama za kukodi ndege hiyo ? Si tunavojua atc haiendi pemba ati !
Samaki walana vao kwa vao !
Anaomba nafasi ya kuhamia kwao na aendelee kuwa mbunge
ama kweli
kujipendekeza 2.
Jk anampongeza hamad rashid kwa kazi nzuri ya kukiuwa chama cha cuf, pia wanaweka mambo sawa ili h.r arudi ccm au aanzishe chama kipya.
Hamad Rashid is a traitor to democracy!
Labda kile chama kipya atakachoanzisha kitakuwa nyumba ndogo ya CCM!
ccm wanafanya mambo kama tamthilia vile,hapo lengo lao ni kumaliza serikali ya mseto zanzaibar ifikapo 2015,hamad atapata support sana kutoka ccm na wale wanaodharau kuwa anapoteza muda wanajidanganya!!ataipasua cuf then ccm watashinda kiurahisi,kumbuka tofauti ya ushindi wa wazanzibar uwa ni kura chache sana hata elfu 10 hazifiki,na hamad akianzisha chama hawezi kupata watu wa ccm atawachukua wa cuf hiyo hiyo,na hamad akianzisha chama kamwe hawezi kukosa kura 50,000 kwenye uchaguzi mkuu na hizo zitakuwa iliyikuwa cuf na hapo ccm itashinda kwa kishindo.
Mtakumbuka kuwa wakati wanaunda huu muungano ccm walisema si wa kudumu,kwa mtu asiyeifahamu ccm,ccm itawagombanisha kisha watafanikiwa kwenye malengo yao,subiri muda ukifika kila kitu kitakuwa wazi.
Kumbe Maalim Seif aliona mbali sana kuamua kumtimua huyu jamaa kwani kajionyesha dhahiri kuwa sio CCM B bali ni CCM A...
Chadema itakuwa imewauma sana picha hii.
Sometimes hawa viongozi wanaboa sana; muwekezaji anaona na rais ataheshimu wengine na taratibu za nchi kweli..this is pathetic..
Du! bonge la shavu kwa mh! Hamad Rashid endelea hivyo hivyo baba waache hao CUF washangaeshangae! Wakishastuka umewaacha mbali!