Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,163
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425 | PRESIDENT'S OFFICE, THE STATE HOUSE, P.O. BOX 9120, DAR ES SALAAM. Tanzania. |
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com press@ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425 | PRESIDENT'S OFFICE, THE STATE HOUSE, P.O. BOX 9120, DAR ES SALAAM. Tanzania. |
Hata Hajua Qualification Zao; Mkoa wa Katavi Sasa Katibu ni Eng. na Mkuu wa Mkoa Eng.
Nilidhani tuna upungufu wa Eng. nchini
Hoyo ni mikoa mipya Mkuu, imetangazwa hivi majuzi kwenye gazeti la serikaliKatavi, njombe, geita, simiyu....hivi hii nchi siku hizi ina mikoa mingapi? Kuna mtu aweza nitajia?
ikulumawasiliano@yahoo.comUNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com
press@ikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425
PRESIDENT'S OFFICE,
THE STATE HOUSE,
P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM.
Tanzania.
Hiki kiingeraza hapa wakati taarifa ni ya kiswahili
Katavi, njombe, geita, simiyu....hivi hii nchi siku hizi ina mikoa mingapi? Kuna mtu aweza nitajia?
Hii serikali sijawahi kuona upuuzi wa namna hii.........Hoyo ni mikoa mipya Mkuu, imetangazwa hivi majuzi kwenye gazeti la serikali
Hii serikali sijawahi kuona upuuzi wa namna hii.........
Mkoa wa Katavi una miwala mbili!!!......hii ni akili au dafu!!!
Halafu kuna mbuzi wanalipwa kama IT specialists
Hii serikali sijawahi kuona upuuzi wa namna hii.........
Mkoa wa Katavi una miwala mbili!!!......hii ni akili au dafu!!!
alafu piga na gharama za kuwaweka hawa makatibu tawala huko kwenye vituo vya kazi, je wanafanya kazi gani pamoja na wakuu wa mikoa!?Du!
Anateua tu, hafuatilii wanachofanya!
miwala mbili ndo nini?au una maanisha wilaya? khaa watu kweli mna hasira mpaka mnakosea kuandika kudadadekii