ndugai line lini vileTamaa ya kikwete ya ufisadi imeharibu hata mazuri aliyo wahi kufanya. Kama Ndugai wengi watasheherekea hasa baada ya haya ya CCM. Tumechoka kutawaliwa na familia na wana mitandao
Lakini je, tuna ubavu wa kuwabandua hawa wanamtandao? Au ndiyo watatupakata mpk mwisho wa dunia?Tumechoka kutawaliwa na familia na wana mitandao
Kikwete nitamkumbuka kama Baba wa ufisadi papa Tanzania na mzee mafia wa kutishaTamaa ya kikwete ya ufisadi imeharibu hata mazuri aliyo wahi kufanya. Kama Ndugai wengi watasheherekea hasa baada ya haya ya CCM. Tumechoka kutawaliwa na familia na wana mitandao
Lakini je, tuna ubavu wa kuwabandua hawa wanamtandao? Au ndiyo watatupakata mpk mwisho wa dunia?
Wana mbinu nyingi sana hawa watu. Na njaa yetu hii, tukipewa baiskeli au pikipiki tunajikuta tunawapigia makofi.Kabisa kama hatusubirii Chadema. Acheni ujinga ujinga ku support media za machawa, kwenye kwenye chaguzi fake baki nyumbani, na kuunga mkono uongo wakati ukweli upo wazi. Yaani acheni kuwa support hawa jamaa