Kikwete at Subhash Patel fund raiser ...

Jamaa huyu si ndie nasikia kamjengea JK pale Msoga Chalinze?

Subhash Patel ndiye kamjengea JK jumba msoga ndiye mwenye jengo la umoja wa vijana,maeneo ya viwanda mikocheni kanunua toka kwa mengi na Estim Construction.Huyu mleta habari haeleweki maana kichwa cha habari kingine ndani kaandika Jeetu Patel wakati siye huyo.Huu ni uandishi kanjanja
 
Huyo ni SUBHASH PATEL siyo JEETU PATEL!

Subhash ndiye mwenye makampuni wa M M steel mzaliwa wa bagamoyo wamosoma na kikwete pamoja

Jeetu Patel ndiye fisadi aliyechota mabilioni benki kuu
Sawa kabisa!Ingawa Subash Patel alitajwa kama fisadi papa na mzee mengi.Ikumbukwe pia Subash Patel ndiye anayejenga barabara ya msata bagamoyo kwa tsh 1.6bn per km its Most expensive road construction cost in east and central africa.
 
Muombe Jeet Patel Msamaha!!!! Huyo hapo ni Subash Patel rafiki ya kikwete tena walisoma wote. Ni owner wa Estim Construction na MM Still Manufacturer!!! Ana utajiri mwingi ikiwemo shareholding ya jengo la UVCCM ambalo lilileta mzozo Lowasa vs Nape, mahotel etc!!! Ha ha ha!!! Hata hivyo Subash amepata sana nguvu ya kibiashara awamu ya nne!!!! Shareholding!!! Msinipige mawe.
 
Sawa kabisa!Ingawa Subash Patel alitajwa kama fisadi papa na mzee mengi.Ikumbukwe pia Subash Patel ndiye anayejenga barabara ya msata bagamoyo kwa tsh 1.6bn per km its Most expensive road construction cost in east and central africa.

Ha ha ha!!! Chain of deals!!!! ni dirisha la kupitia tu!!! Kweli hii ni Tanzania.
 
kwa watawala wa Tanzania hayo ni ya kawaida.Mnakumbuka mzee wa vijisenti alipochangia timu ya taifa fedha kutoka mfuko wa barabara wakati akiwa waziri wa miundombinu?chezea nchi ya kusadikika wewe?
 
Mwl wa UPE mama Rizmoko anawakawaka blingbling kila mahali kama Bi Imelda Marcos vile
cc Bi Mushumbushi u-first lady laaaaha!
 
Huyo ni SUBHASH PATEL siyo JEETU PATEL!

Subhash ndiye mwenye makampuni wa M M steel mzaliwa wa bagamoyo wamosoma na kikwete pamoja

Jeetu Patel ndiye fisadi aliyechota mabilioni benki kuu
Si ndie huyu jamaa aliyewalalia UVCCM kwenye mkataba uliosainiwa na EL wa jengo lililojengwa kwenye kiwanja cha UVCCM? Nape akaja juu mpaka akapewa ukuu wa Wilaya?
 
Haaaa haaaa, hiyo ndiyo CCM bwana. Guys, we should stop whining, treachery and corruption are difficut to break if you are used to them. Let's organise; it is action that will save our country and not our anger and frustration!
....
 
I see.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…