Kikwete Anawaogopa WanaUDSM??

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Kama kumbukumbu zangu hazinidanyanyi JK ndo anamaliza miaka yake mitano akiwa ameongea na wanaUDSM mara moja mwaka 2006 pale alipokuja kufungua College of Engenring akazomewa na wanaUDSM tokea hapa hajawai kurudi tena.

Jana katibu mkuu wa UN Dr Asha Rose Migiro tulikuwa naye pale UDSM sijui alitumwa na JK kama kinga yake?? Je JK hana huwezo wa kuwahotubia wanavyuoni??
 
Atetema pumba, saizi yake wazee waliochoka wenye jezi za njano na kijani wa dsm
 
Kwa sasa yupo busy na......
MKUKUTA,
MKURABITA,
KILIMO KWANZA
SAFARI ZA NJE,
KUFUNIKA KASHFA ZOTE ZA UFISADI,
NAMNA YA KUSHINDA UCHAGUZI 2010 MAANA HALI NI MBAYA KASHIKWA PABAYA
Atakuja tu subirini!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kwa sasa yupo busy na......
MKUKUTA,
MKURABITA,
KILIMO KWANZA
SAFARI ZA NJE,
KUFUNIKA KASHFA ZOTE ZA UFISADI,
NAMNA YA KUSHINDA UCHAGUZI 2010 MAANA HALI NI MBAYA KASHIKWA PABAYA
Atakuja tu subirini!!!!!!!!!!!!!!!!!![/QUOTE]

akija atakuja na wapambe wake na matarumbeta
 
MAHALI AMBAKO NI SIZE NI UDOM,UD NI CHEMCHEM YA FIKRA ZA KIMAGEUZI KWA HIYO ATAUMBUKA:bored:
 
Back
Top Bottom