kweli anastahili sifa kwa kuchagua mawaziri wabovu,wezi wajeuri walafi.!
kweli anastahili sifa kwa kuchagua mawaziri wabovu,wezi wajeuri walafi.!
Ukweli kwa hili suala anastahili pongezi. Amewapa meno na uwezo watu wa CAG kukagua kwa uwazi kila wizara na kuruhusu ripoti zao zisomwe na kujadiliwa bungeni kama ilivyokuwa kwenye kikao cha bunge lililopita. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
huo ni ufinyu wa kufikiri. Ni wewe ulianzisha mfumo huu ambao leo hii unaweza kuwajua wabadhirifu? Funguka kidogo.
Mliibiwa awamu zote za kabla ya kikwete bila kujijuwa, leo kawaonesha njia mbadala inabidi mumpe kila sifa. Mngeyajuwa haya?
Kawaida ya vipofu ni kusifia hata yasiyostahili kusifiwa! Huo ni wajibu wake, alafu umeona mahesabu ya Ikulu na ofisi ya waziri mkuu hayakuwekwa wazi; unafikiri hakuna wizi huko?
Kawaida ya vipofu ni kusifia hata yasiyostahili kusifiwa! Huo ni wajibu wake, alafu umeona mahesabu ya Ikulu na ofisi ya waziri mkuu hayakuwekwa wazi; unafikiri hakuna wizi huko?
inatusaidia nini kama anaweka mifumo lakini anashindwa kufanyia kazi matunda ya mifumo husika? Nyie ndio mnafurahia wingi wa shule bila kusikitikia wahitimu mbumbumbu... Kwa taarifa yako ni bure kuoga kwa nje wakati rohoni unajua u-mchafu. Apewe sifa kama anayoyaanzisha yanabadilisha maisha ya wanyonge na taifa linapiga hatua kimaendeleo, ni bora tuwe maskini kwa kukosa mifumo hiyo kuliko kuwa nayo angali tu mafukara
mkuu umemaliza kila kitu, ila tatizo ni sekretariet ya chama chetu imelala wanashindwa kutoa elimu ya umma ili watanzania waelewa ukweli halisiBaada ya Rais Kikwete kuunda upya mfumo wa ukaguzi wa mahesabu ya Serikali na baada ya kulazimisha ukaguzi huo uwe unafanywa kwa haraka zaidi, sio kama ilivyokuwa kwa uongozi wa kabla yake, na baada ya kufanya kila njia hesabu hizo ziwe zinajadiliwa kwa uwazi bungeni. Tunaona matunda yake.
Kikwete, unastahili kila sifa njema kwa kuwa mwenye kutoa na kufanya maamuzi kidemokrasia bila kuchukuwa hatua mkononi mwako (udikteta). Tunaona CAG ilivyofanya kazi, hakuna aliyetegemea kama itakuwa hivi.
Wapinzani, wameirukia hoja kama vile ni ubunifu wao, wanasahau kuwa wewe ndiye muasisi wa huu mfumo mpya na wewe ndiye uliyemteua Utoh.
Wanasahau pia kuwa wewe ndiye uliyeamuwa na kuanzisha mfumo wa hizi ripoti za mkaguzi mkuu zijadiliwe bungeni, hakuna aliyekuwa na moyo huo kabla yako. Mungu akuweke uendelee kuonesha njia.
Roho chafu ni zenu ambazo hamuoni mema ya Kikwete ambayo hayajawahi kutokea kabla yake. Uliwahi kusikia ripoti za mahesabu ya utawala wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, yakijadiliwa bungeni?
Ili CAG awe na MENO anatakiwa awajibike kwa bunge na pia apewe nguvu ya kuwapeleka mahakamani watu wa namna hiyo. Yote haya ni mabadiliko kwenye sheria zetu but so far good move.
Baada ya Rais Kikwete kuunda upya mfumo wa ukaguzi wa mahesabu ya Serikali na baada ya kulazimisha ukaguzi huo uwe unafanywa kwa haraka zaidi, sio kama ilivyokuwa kwa uongozi wa kabla yake, na baada ya kufanya kila njia hesabu hizo ziwe zinajadiliwa kwa uwazi bungeni. Tunaona matunda yake.