Kikwete anamwambia nini Rose Kamili Slaa?

Kikwete anamwambia nini Rose Kamili Slaa?

ngurdoto

Member
Joined
Aug 19, 2010
Posts
58
Reaction score
23
Rose Kamili Slaa akiteta jambo na Jakaya Kikwete, unadhani wanazungumza nini hapo??

attachment.php
 
Attachments

  • ROSE KAMILI SLAA VS JAKAYA KIKWETE.jpg
    ROSE KAMILI SLAA VS JAKAYA KIKWETE.jpg
    238.4 KB · Views: 5,082
Kumbe Rose Kamili nae yuko Bomba ki-hivi! Kweli Dr. Slaa ana macho mazuri! Mswati hakawii kuomba namba ya simu hapo!
 
Rais wetu suti zinampendeza,hapo anaoneka kama celebrity....suti kali,bila shaka ni kodrai ya ukweli
 
huyu mama yupo bomba kuliko hata josephine,huwezi jua mambo ya ndani labda josephine ni mtundu.
 
Rais wetu suti zinampendeza,hapo anaoneka kama celebrity....suti kali,bila shaka ni kodrai ya ukweli

Ni kweli kabisa Raisi wetu anajua kuvaa, hata akiwa casual anatoka bomba sana. Huwezi kumfananisha kabisa na M7 au kibaki. Safisana raisi wangu, kwa hilo upo juu
 
Magembe anacheka na jamaa wa nyuma apo while JK yuko serious usikute mzee anatupa ndoano!
au anamwambia ivi mbona bado unakomaa na Dr achana nae keshazeeka,vip nkupe UDC?
 
Kikwete: How is it with your ex now?
Rose: I left him for good.
KIkwete: Oh really!?, but Its alright ,you deserve something better not that Old Ba***
Rose: Yeah i know , but i think you look really cute!
Kikwete: Teh teh, lets keep this between the two of us, okay.
 
hahahahahahaahahahah! umenichekesha mkuu asante sana kha!
Magembe anacheka na jamaa wa nyuma apo while JK yuko serious usikute mzee anatupa ndoano!
au anamwambia ivi mbona bado unakomaa na Dr achana nae keshazeeka,vip nkupe UDC?
 
Kweli ubunge mtamu. Juzi tu huyu mama alikuwa kachakaa mbaya kabisa, sasa anawaka kama mtoto mchanga!!!
 
Rais wetu suti zinampendeza,hapo anaoneka kama celebrity....suti kali,bila shaka ni kodrai ya ukweli

Bora uwe mwanamke lakini km ni dume utakuwa mvumilivu kwa yale maumivu na km hujaanza kuvumilia baada utakuwa mvumilivu hadi uzoee. Eti rais wetu suti zinampendeza! Yani ndo ulichoona cha maana
 
huyo rose kamili anaongea hadi machoz yanamlenga .... hebu mcheki vizuri
 
huyu mama yupo bomba kuliko hata josephine,huwezi jua mambo ya ndani labda josephine ni mtundu.

Kumbe jibu unalo mwenyewe! Mwanamke mambo kitandani mengine ni vibwagizo tu.
 
Kikwete: How is it with your ex now?
Rose: I left him for good.
KIkwete: Oh really!?, but Its alright ,you deserve something better not that Old Ba***
Rose: Yeah i know , but i think you look really cute!
Kikwete: Teh teh, lets keep this between the two of us, okay.

ha haa ha!! Nimeipenda hii.
 
Back
Top Bottom