Kikwete anaiogopa CHADEMA?


mkuu hebu toa mfano wa jambo ambalo cdm wamewapinga ccm hali lina maslah kwa taifa,
 
Chadema hatutaki ubunge wa mezani, tunataka ubunge toka kwa umma



ama kweli nimeanza kuhisi mbatia ni kwa ajili ya Mdee na Muhongo ni kwa ajili ya Vicent NYERERE PALE MUSOMA MJINI!.

Inawezekana kabisa hana move ya kubortesha utendaji bali ni kuua upinzani wa CHADEMA!
 


Usiropoke na usilolijua na sio lazima kuchangia kila linalokatiza mbele yako. Hili ndio tatizo lako, usijifanye unajua kila kitu. Fuatilia ni mangapi cdm wametoa ushauri kwa serikali lakini hayakufuatiliwa. Na ni chama gani kinasababisha hata hao akina mbatia wanapata ubunge ss.
 
jamaniii, Mwogope MUNGU wewe! kumbuka walivyopinga ile sheria ya kukusanya maoni ya katiba, walipopewa nafasi kila mmoja alijifanya kuwa alikuwa na mawazo kama yao.Vilevile hata ndani ya CCM kuna wanaopinga ule uovu uliopo lakini wanaogopa kwa vile hawakulelewa kusema ukweli, mfano mzuri uliona katika bunge lililopita
 

CUF = CCM B
NCCR = CCM C

CHADEMA ni chama cha upinzani Kikwete hana ubavu wa kumteua mbunge kutoka upinzani. hao hapo juu ni washirika wake
 
haya mazingira Jk anayotengeneza yanaweza yakaleta serikali ya mseto 2015

Mkakati wa CHADEMA ni kushinda uchaguzi kwa zaidi 75% vote. Sasa huo mseto utatokea wapi?

Sina hakika kama Jk naye anatumia masaburi kuwaza. kama anatumia hivyo itakuwa hatari
 
Awaogope kwa lipi? Ile mikwala ya kukesha viwanjani mpaka uchaguzi wa umeya Arusha urudiwe imeishia wapi? Kwenye Tume ya katiba Prof Baregu kateuliwa na Slaa? Wenzenu wakiteuliwa Vibaraka,nyie mkiteuliwa kimyaa!!wekeni utaratibu Rais akisafir na wabunge wenu mfahamishwe pengine hamlijui hilo!
 
kikwete amechanganyikiwa sana anajaribu kutafuta sehemu ya kujishikiza.
 
mkuu hebu toa mfano wa jambo ambalo cdm wamewapinga ccm hali lina maslah kwa taifa,

uchaguz wa meya wa Arusha mjini,wamebembelezwa kama mnahisi taratibu zimekiukwa nendeni mahakamani wamekataa! Lema akageuka Kibwetere kukesha viwanjani na kufunga mpaka Meya aondoke,!!
 

Bangoo.....nakubaliaana na wewe 100 ya mia....Inasikitisha kuona hili linatokea ....ila ndo siasa zetu tufanyeje?!!! Mimi nazani wewe na mimi tuiunge mkono Chadema na tuendelee kuelimisha wananchi waiunge mkono
 

Songoro Umelewa wewe si bure!
 
Mbunge wa kuchaguliwa anatetea wananchi waliomchagua ,wa kuteuliwa anatetea wananchi na chama chake je mbatia atatetea JK au ccm au nccr
 

Badili Avatar yako na signature then come back!
 

chadema hawategemei wabunge wa kuteuliwa tu na nakurekebisha pia kuwa chadema hawapingi masuala ya maendeleo yenye manufaa kwa raia wa Tz bali chadema wanapinga rushwa,ufsadi na uongozi usiowajibika kwa wananchi na huu ambao ccm wanauendesha pamoja na wewe pia ni kenge ambaye uko kwenye msafara wa mamba.
 
Jk angethubutu kuingiza mkono tu, yaani mkono wake tu, ningehama CDM siku hiyo hiyo!

yaani watu wenye ubongo wageuzwe matutusa na mtu asokuwa na ubongo, hakiyanani hata mm ningehama chama,
 

Huchelewi kusikia kwenye baraza jipya Augustino Lyatonga Mrema. Tutawajua kwa matunda yao. aliyesema Time will tell hakukosea. Mapandikizi yatajulikana.
 
Dah thread nyingine bwana, yaani kwa akili zako, Mtukufu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anaweza kuogopa chama cha vilaza kama Chadema?.
.
"Ama kweli CHADEMA NI SAWA NA NG'OMBE ASIYE NA BEI SOKONI".
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".









Nahisi wewe ni mmoja kati ya mafisadi wa CCM. CDM kwa taarifa yako ni chama cha watu makini wenye elimu zao. Fanaya utafiti kwa wabunge wa CDM jinsi wanavyowasumbua wabunge wa CCM. Ni wachache lakini chachu yao bungeni ni kukubwa kuliko hao wa CCM. Rudi mtaani utanipa majibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…