Sumbalawinyo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,282
- 250
Nadhani Mhe. Salva badala ya kuhangaika na propaganda angetoa kusudio la siku saba mmiliki wa Wikileaks achapiche tamko la kuomba radhi la sivyo atafikishwa mahakamani kwa kuchafua kilicho kisafi , zaidi ya hapo tutajua ni juhudi za kufua kwa maji taka huku unatarajia kung'arishaSalva Rweyemamu msemaji wa lkulu amepinga vikali kuwa raisi wetu hakupokea hongo ya suti.
Je wikileaks wana ugomvi gani na kikwete hadi wamsingizie? Au kuna mkono wa Chadema kwenye hii KASHFA YA RAISI?
Nadhani Mhe. Salva badala ya kuhangaika na propaganda angetoa kusudio la siku saba mmiliki wa Wikileaks achapiche tamko la kuomba radhi la sivyo atafikishwa mahakamani kwa kuchafua kilicho kisafi , zaidi ya hapo tutajua ni juhudi za kufua kwa maji taka huku unatarajia kung'arisha
<br />Salva Rweyemamu msemaji wa lkulu amepinga vikali kuwa raisi wetu hakupokea hongo ya suti.<br />
Je wikileaks wana ugomvi gani na kikwete hadi wamsingizie? Au kuna mkono wa Chadema kwenye hii KASHFA YA RAISI?
.....Mhe. Salva ...
salva rweyemamu msemaji wa lkulu amepinga vikali kuwa raisi wetu hakupokea hongo ya suti.
Je wikileaks wana ugomvi gani na kikwete hadi wamsingizie? Au kuna mkono wa chadema kwenye hii kashfa ya raisi?
<br />Weakleaks wanavujisha taarifa za kiintelijensia za Ubalozi wa Marekani na kuutoa. Serikali ilitakiwa iwabane hawa Weakleaks wathibitishe kama kweli hizo taarifa wamezitoa Katika mawasiliano ya Us Embasy na kama ni kweli Us Embasy ilitakiwa wabanwe wathibitishe wakishindwa tuwafukuze wafunge ubalozi wao hapa kwetu maana watakuwa hawatutakii mema. Kwakutokuwabana inaonyesha haya yote ni ya kweli