Kikwete ana Hoteli ya kifahari Zanzibar

Kikwete ana Hoteli ya kifahari Zanzibar

baada ya ukawa kuingia madarakani mengi yatafumuka 2016 tegeni masikio watu watakimbilia oman walikoa
 
Kweli Milenium ni ya Mpande haihusianai na jk na ni kweli mpande naye anatoka huko ila anaishi bongo kwa sasa
 
Aliyekudokeza amalize hiyo hadithi yake. Sasa ukijua iweje!! Acha kuhangaika na maisha ya watu, tengeneza ya kwako.
 
Back
Top Bottom