Kikwete amuita Lowassa kwa mazungumzo ya siri! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete amuita Lowassa kwa mazungumzo ya siri!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Informer, Apr 11, 2011.

 1. T

  The Informer Senior Member

  #1
  Apr 11, 2011
  Joined: Jun 14, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ni miongoni mwa waandishi tulio hapa Dodoma. Nimepata hii taarifa kwa watu waliokuwa karibu na Ikulu sasa hivi usiku huu.

  Rais Jakaya Kikwete amemuita swahiba wake wa siku nyingi, Edward Lowassa, Ikulu ya Dodoma kwa mazungumzo ya faragha. Haijulikani watazungumza nini ila ni Kikwete ambaye ame initiate hayo mazungumzo. Inasemekana hata Lowassa amepigwa butwaa na hajui Kikwete amemuitia nini.

  JK kufanya mazungumzo ya siri na Lowassa kunakuja baada ya baadhi ya wajumbe wa NEC leo hii kutoa matamshi makali dhidi ya Lowassa, Rostam Aziz na Andrew Chenge na kutaka vigogo hawa wenye tuhuma lukuki za ufisadi watimuliwe kwenye chama.

  Kuna tetesi kuwa JK anataka kufanya Cabinet reshuffle baada ya CCM kujivua gamba. Huenda anataka kumpooza kwa kumrejesha swahiba wake kwenye Baraza la Mawaziri ili ajiandae vyema kumrithi 2015 baada ya kujeruhiwa kwenye NEC ya CCM.
   
 2. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #2
  Apr 11, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  Makubwa haya!
   
 3. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2011
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  inawezekana, lakini pia kuna mambo mawili.
  i] anamuomba apunguze kasi ya kujiandaa na 2015 ili kulinda mshikamano wa chama.
  au
  ii] anamuomba ajiuzulu mwenyewe kwa sababu wajumbe wamechachamaa.
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  nchii hii haitakwisha sanaa milele...atashangaaje kuitwa na swahiba wake wakati kutwa wanashinda wanachat kwa sms
   
 5. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #5
  Apr 11, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Tusubirie tuone itakuwaaje maana ndio anaanzaga hivi hivi.......
   
 6. m

  matawi JF-Expert Member

  #6
  Apr 11, 2011
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ccm sasa inataka kumwaga sumu baada ya utoaji wa gamba la juu kutokuleta tija
   
 7. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #7
  Apr 11, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,016
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Tanzania na vioja, guilty conscious
   
 8. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #8
  Apr 11, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,925
  Likes Received: 12,133
  Trophy Points: 280
  Unafagia taka sitting room unazitupia chumbani yetu macho.
   
 9. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #9
  Apr 11, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Confusion never stops!
   
 10. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #10
  Apr 11, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hasidi haachi asili yake
   
 11. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #11
  Apr 11, 2011
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Not Jk i know..You think so...
   
 12. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #12
  Apr 11, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  MATCH ndo inaanza sasa Lowasa na RA lazima atoe mtu ROHO
   
 13. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #13
  Apr 11, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Lakini tusisahau kuwa Lowassa alikubali kulibeba zigo zito la JK -- Richmond. Ni zigo la JK lile!
   
 14. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #14
  Apr 11, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  i agree not jk
   
 15. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #15
  Apr 11, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  As you said "shaiba wake" Haiwezekani JK kumuita EL na kutokujua anamuitia nini.! Imposble mkuu, he knows what goes on, wasanii tu hao hakuna lolote. Zen great thinker it can be eti Ngoayi apokunywe uanachama? Back to 1995 come 2005, they are very close! Shortly Jk hakohoi kwa EL n RA
   
 16. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #16
  Apr 11, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  kazi kweli kweli
   
 17. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #17
  Apr 11, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Anaweza kuwa anataka kumtisha -- yeye na RA kwamba wasithubutu kufanya chochote kama malipizo ama sivyo nguvu za dola.....?
   
 18. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #18
  Apr 11, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,519
  Likes Received: 5,660
  Trophy Points: 280
  nchi yetu wenyewe wanagawana kama ice cream za azam,kibaya zaidi tunawaangalia tu,Jwtz,polisi,uwt,umma wooote tupo tu!
   
 19. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #19
  Apr 11, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  Yetu Macho,tuombe Mungu
   
 20. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #20
  Apr 11, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  huu unafiki unanikera sana
   
Loading...