Kikwete amuita Lowassa kwa mazungumzo ya siri!

Mimi ni miongoni mwa waandishi tulio hapa Dodoma. Nimepata hii taarifa kwa watu waliokuwa karibu na Ikulu sasa hivi usiku huu.

Rais Jakaya Kikwete amemuita swahiba wake wa siku nyingi, Edward Lowassa, Ikulu ya Dodoma kwa mazungumzo ya faragha. Haijulikani watazungumza nini ila ni Kikwete ambaye ame initiate hayo mazungumzo. Inasemekana hata Lowassa amepigwa butwaa na hajui Kikwete amemuitia nini.

JK kufanya mazungumzo ya siri na Lowassa kunakuja baada ya baadhi ya wajumbe wa NEC leo hii kutoa matamshi makali dhidi ya Lowassa, Rostam Aziz na Andrew Chenge na kutaka vigogo hawa wenye tuhuma lukuki za ufisadi watimuliwe kwenye chama.

Kuna tetesi kuwa JK anataka kufanya Cabinet reshuffle baada ya CCM kujivua gamba. Huenda anataka kumpooza kwa kumrejesha swahiba wake kwenye Baraza la Mawaziri ili ajiandae vyema kumrithi 2015 baada ya kujeruhiwa kwenye NEC ya CCM.

Haya yatakuwa maamuzi ya kijinga kupindukia,na hakuna mtu mwenye akili timamu atakayemwelewa.Kwani hizo kashfa kazipata wapi,si huko serikalini alipokuwa waziri mku?sasa anamrudisha tena.
 
Mimi ni miongoni mwa waandishi tulio hapa Dodoma. Nimepata hii taarifa kwa watu waliokuwa karibu na Ikulu sasa hivi usiku huu.

Rais Jakaya Kikwete amemuita swahiba wake wa siku nyingi, Edward Lowassa, Ikulu ya Dodoma kwa mazungumzo ya faragha. Haijulikani watazungumza nini ila ni Kikwete ambaye ame initiate hayo mazungumzo. Inasemekana hata Lowassa amepigwa butwaa na hajui Kikwete amemuitia nini.

JK kufanya mazungumzo ya siri na Lowassa kunakuja baada ya baadhi ya wajumbe wa NEC leo hii kutoa matamshi makali dhidi ya Lowassa, Rostam Aziz na Andrew Chenge na kutaka vigogo hawa wenye tuhuma lukuki za ufisadi watimuliwe kwenye chama.

Kuna tetesi kuwa JK anataka kufanya Cabinet reshuffle baada ya CCM kujivua gamba. Huenda anataka kumpooza kwa kumrejesha swahiba wake kwenye Baraza la Mawaziri ili ajiandae vyema kumrithi 2015 baada ya kujeruhiwa kwenye NEC ya CCM.

katika siasa hakuna rafiki wala adui a kudumu, mnatofautiana leo kwa hili mnapatana kesho kwa lile
 
jamani jamani.. hivi mnategemea kuna jipya lolote hapo? JK is the master mind katika ufisadi wote uliopo hapa nchini.. actually yeye ndio anatakiwa ajiuzulu tutaingia gharama za uchaguzi mwingine ila ni bora
 
lOWASA AMEITISHA KIKAO SAA TANO HII NA KAMATI YAKE YA BUNGE -ULINZI, USALAMA NA MAMBO YA NJE
 
mhhh lakini mm naona Lowassa ana kashfa lakini bado ni mtendaji mzuri.Mlishuhudia wanyewe alipokuwa waziri mkuu alimfunika sana JK na pia alichofanya kilionekana wazi hakuwa mtu wa maneno bila vitendo.kwa hivo kama watamchagua kugombea naona ataleta maendeleo na atajitahidi kujisafisha na pia kwa vile kashiba mali hatatuibia tena, wanasema mchawi mpe mwanao amlelee. mawazo yangu tu hayo wajamini
 
Mimi ni miongoni mwa waandishi tulio hapa Dodoma. Nimepata hii taarifa kwa watu waliokuwa karibu na Ikulu sasa hivi usiku huu.

Rais Jakaya Kikwete amemuita swahiba wake wa siku nyingi, Edward Lowassa, Ikulu ya Dodoma kwa mazungumzo ya faragha. Haijulikani watazungumza nini ila ni Kikwete ambaye ame initiate hayo mazungumzo. Inasemekana hata Lowassa amepigwa butwaa na hajui Kikwete amemuitia nini.

JK kufanya mazungumzo ya siri na Lowassa kunakuja baada ya baadhi ya wajumbe wa NEC leo hii kutoa matamshi makali dhidi ya Lowassa, Rostam Aziz na Andrew Chenge na kutaka vigogo hawa wenye tuhuma lukuki za ufisadi watimuliwe kwenye chama.

Kuna tetesi kuwa JK anataka kufanya Cabinet reshuffle baada ya CCM kujivua gamba. Huenda anataka kumpooza kwa kumrejesha swahiba wake kwenye Baraza la Mawaziri ili ajiandae vyema kumrithi 2015 baada ya kujeruhiwa kwenye NEC ya CCM.

Jamani huu ni uzandiki mkubwa kwani siamini kabisa kama wewe ni mwandishi ambaye anayeweza kuandika kitu asichokijua.

Fahamu kuwa kwa sheria za Tanzania, Lowasa kwa vile alishawahi kuwa waziri mkuu ana vyeo vitatu tu anavyoweza kushika kwa mujibu wa katiba navyo ni Waziri mkuu tena, makamo wa rais au Raisi tu.

Please kabla kuandika jambo kama mwandishi jaribu kulifanyia uchaguzi kama inavyo kokotezwa katika ethics za uandishi.
 
Back
Top Bottom