911
Platinum Member
- Aug 22, 2008
- 858
- 508
Tik tok tik tok....Watch this space!UNATAKA KUSABABISHA MH.MAGUFURI AMUTUMBUE.POLE SANA
Tik tok tik tok....Watch this space!UNATAKA KUSABABISHA MH.MAGUFURI AMUTUMBUE.POLE SANA
Peter Noni anastaafu rasmi mwezi huu May 2016 mwishoni. Anasubiri mteule mwingine amkabidhi ofisi. Ilikuwa aachie TIB January lakini wamemtaka aendelee hadi JPM amtaje mteule mwingine.!
!
Huu uteuzi soon unaweza make headline ya kutumbuliwa. Daah
Hata sasa bado unasimamia kauli hii?Mzee Mwanakijiji, pole kwa kugubikwa na huzuni, hii ndiyo Tanzania yetu, hawa ndio viongozi wetu tuliowachagua wenyewe kwa ridhaa yetu, hapa ndipo walipotufikisha, na tunasubiri kwa hamu wapokezane vijiti 2015 tuwape miaka mitano mingine waendelee kutupeleka kule wanapotakiwa kutufikisha.
Mungu ibariki Tanzania.
Pasco.
"hii ndiyo Tanzania yetu, hawa ndio viongozi wetu tuliowachagua wenyewe kwa ridhaa yetu, hapa ndipo walipotufikisha, na tunasubiri kwa hamu wapokezane vijiti 2015 tuwape miaka mitano mingine waendelee kutupeleka kule wanapotakiwa kutufikisha."Hata sasa bado unasimamia kauli hii?
Peter Noni anastaafu rasmi mwezi huu May 2016 mwishoni. Anasubiri mteule mwingine amkabidhi ofisi. Ilikuwa aachie TIB January lakini wamemtaka aendelee hadi JPM amtaje mteule mwingine.
..unakumbuka nlisema huyu alihusika na ufisadi enzi ya jk! ..hata ule ufisadi wa EPA alikuwepo....hawa watu hadi leo wanaitafuna nchi....nashangaa watu wa system hawawaoni....[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Tumeileta makusudi..unakumbuka nlisema huyu alihusika na ufisadi enzi ya jk! ..hata ule ufisadi wa EPA alikuwepo....hawa watu hadi leo wanaitafuna nchi....nashangaa watu wa system hawawaoni....
Jamaaa fisadi aliyekubuhu
Amekomaa kwa ufisadi
Ova
Aise jamaa kiboko,Acha akwibe tu mpaka atosheke mwenyewe aseme sasa basi [emoji1]Bado anapiga kazi tu hana shida
System hawana jambo..unakumbuka nlisema huyu alihusika na ufisadi enzi ya jk! ..hata ule ufisadi wa EPA alikuwepo....hawa watu hadi leo wanaitafuna nchi....nashangaa watu wa system hawawaoni....
Ukishakula nyama ya mtu huwezi kuacha.Bado anapiga kazi tu hana shida