Kikwete Amtembelea Dr. Mvungi...MOI

Kikwete Amtembelea Dr. Mvungi...MOI

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,309
Reaction score
17,839
mvu1_b5f6b.jpg

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Mhe James Mbatia na Daktari wa zamu wakimwangalia Mjumbe wa
Tume ya Katiba Dkt Sengondo Mvungi aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kitengo cha Mifupa (MOI) leo Novemba 3, 2013
kufuatia kujeruhiwa kwake na watu wanaosadikiwa ni majambazi usiku wa Jumamos Novemba 2, 2013

Get well soon Dr. Mvungi..
 
vip hao majambaz walimuibia au walimjeruhi tu na kuondoka?
 
Jk usihuzunike sana, jibu unalo mwenyewe,
majambazi wanazidi kuongezeka kutokana na hali ngumu ya maisha
Kuibuka kwa makundi yenye nazo na maskini ndio chanzo.
hao waliowekeza fedha zetu uswizi na hizo fedha zinazonunua mavx zingeelekezwa kwenye huduma za msingi
kama afya na elimu na kuwawezesha vijana kujiajiri...
Tungeondoa utofauti mkubwa wa mishhara kila mtu akaishi maisha standard
na wale wasio na kazi wakawezeshwa mikopo na training za kilimo tungekuwa mbali
utofuati huu kama hautokoma tutazidi kuzalisha majambazi wengi zaidi
majambazi kawaibieni mafisadi tuachieni watu wetu wema
 
Hivi una habari hata nchi zilizojuu kiuchumi zina majambazi?
 
Nchi yetu inaongozwa na matukio,.

Nategemea 2015 iwe mwisho maana tumeshachoka!!
 
Rais wa watu huyu........upone haraka Dr.
 
eti mungu amponye kwanini asizuie asikatwe.madaktari wamponye
 
Kikwete afanye mchakato hao matahra walomjeruh dr.wakamatwe.
 
Jk usihuzunike sana, jibu unalo mwenyewe,
majambazi wanazidi kuongezeka kutokana na hali ngumu ya maisha
Kuibuka kwa makundi yenye nazo na maskini ndio chanzo.
hao waliowekeza fedha zetu uswizi na hizo fedha zinazonunua mavx zingeelekezwa kwenye huduma za msingi
kama afya na elimu na kuwawezesha vijana kujiajiri...
Tungeondoa utofauti mkubwa wa mishhara kila mtu akaishi maisha standard
na wale wasio na kazi wakawezeshwa mikopo na training za kilimo tungekuwa mbali
utofuati huu kama hautokoma tutazidi kuzalisha majambazi wengi zaidi
majambazi kawaibieni mafisadi tuachieni watu wetu wema

mtaji wa msikini ni nguvu zake mwenyewe
 
Back
Top Bottom