Domy
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 4,700
- 1,090
Kikwete ni Rais wa WATU...
Nani alikwambia ni Rais wa wanyama....
Kikwete ni Rais wa WATU...
Hivi una habari hata nchi zilizojuu kiuchumi zina majambazi?
Kikwete ni Rais wa WATU...
eti mungu amponye kwanini asizuie asikatwe.madaktari wamponye
![]()
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Mhe James Mbatia na Daktari wa zamu wakimwangalia Mjumbe wa
Tume ya Katiba Dkt Sengondo Mvungi aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kitengo cha Mifupa (MOI) leo Novemba 3, 2013
kufuatia kujeruhiwa kwake na watu wanaosadikiwa ni majambazi usiku wa Jumamos Novemba 2, 2013
Get well soon Dr. Mvungi..
Mbona wanampunguzia 'Ujiko' Dr Mugisha...Daktari kijana bingwa upasuaji wa mfumo wa fahamu (Neurosurgeon), mchapa kazi amemsimamia Dr Mvungi tangu anafika hospitali mpaka sasa! Bravo 'Meti'!
nimeishi katika nchi mojawapo kwa miaka 4 sijasikia ujambazi au uporaji wamejitahidi kuweka usawa kimaisha,wenye mishahara mikubwa wanakodi kubwa sana
mfagizi wa ofisi na mtu anaekaa ofisini maisha yao hayana tofauti kubwa wanaishi standard life,,
hata chuoni unacha simu na laptop juu ya meza hakuna anaeiba sijawahi kuibiwa..
nchi kama marekani ujambazi ni mkubwa kwa sababu ya utofauti mkubwa wa kipato
nchi kaka Norway, denmark au sweden wizi utausikia kwa nadra sana........
sisi tanzania tofauti ni kubwa mno kati ya matajiri na maskini usitegemee wizi kuisha..
jiografia pia inachangia,,kila mtu kajenga kwake
Serikali ingechukua maeneo kama sinza,manzese,magomeni,msasani wakajenga flats wakapangisha kwa bei nzuri hata maskini angeweza kuishi,ukaribu unasaidia kupunguza ujambazi na maisha ya wananchi yakaboreshwa kama alivoahidi JK....fedha za gesi na utalii ziingizwe hazina,wananchi wapunguziwe kodi ya mishahara na bidhaa muhimu
ajilaumu mwenyewe hayo maisha bora kwa kila mtanzania yako wapi..
shwari