Curriculum Specialist
JF-Expert Member
- Oct 8, 2007
- 2,732
- 750
Nape utamvua lini gamba lowassa?ona sasa jk mwenyewe anamgwaya,kiboko ya lowassa ni chadema,hakuna mtu ndani ya ccm anaweza kupambana na mamvi
Juhudi za kutunga uongo ni kubwa sana. Kama mgombea anafaa huna sababu ya kutunga uongo kuonyesha anafaa!! Huu unaofanyika na mwandishi wa stori hii ni ushambenga!
Juhudi za kutunga uongo ni kubwa sana. Kama mgombea anafaa huna sababu ya kutunga uongo kuonyesha anafaa!! Huu unaofanyika na mwandishi wa stori hii ni ushambenga!
juhudi za kutunga uongo ni kubwa sana. Kama mgombea anafaa huna sababu ya kutunga uongo kuonyesha anafaa!! Huu unaofanyika na mwandishi wa stori hii ni ushambenga!
Juhudi za kutunga uongo ni kubwa sana. Kama mgombea anafaa huna sababu ya kutunga uongo kuonyesha anafaa!! Huu unaofanyika na mwandishi wa stori hii ni ushambenga!
Mkuu, hii unayoiita "Kurugenzi yake ya mawasiliano" kwani watu wake majina yao ni SIRI?. Kwa nini wanaogopa kutaja majina yao kama vile kuwa kwenye "kurugenzi ya mawasiliano ya Lowassa" ni kosa la jinai. Kuna nini kimejificha katika mahusiano yao.Hakuna tatizo hapo mkuu. Lowassa kaulizwa akawajibu kupitia 'kurugenzi yake ya mawasiliano' tatizo liko wapi?
CC: Pasco
Juhudi za kutunga uongo ni kubwa sana. Kama mgombea anafaa huna sababu ya kutunga uongo kuonyesha anafaa!! Huu unaofanyika na mwandishi wa stori hii ni ushambenga!
KUNA VITU VILE NAWAZA:
Mzee Lowassa akiutwaa Urais, Nape atafanya kazi gani tena ?
KUNA VITU VILE NAWAZA:
Mzee Lowassa akiutwaa Urais, Nape atafanya kazi gani tena ?
Mkuu utamfanya Nape aanze kusaka uraia wa nchi mbili,poor Nape....Lowassa anakuvutia kasi kwa jinsi ulivyomkosea adabu..viva lowasaNape wewe ni Vuvuzela. Aliesemaga wewe ni SARATANI UNAYOIUWA CCM taratibu hakukosea.
Huwezi kukubali habari hii kwani imemtaja Muhasimu wako Mkubwa Kisiasa na Unae mwogopa kuliko mtu yeyote Duniani mh EDWARD LOWASSA.
Ingekuwa hapo katajwa au Kasifiwa SITTA, MEMBE au MWAKIEMBE hapo lazima ungejitokeza ukishangilia kama ZUZU.
Sisi yetu macho tunawatizama tu na SARAKASI yenu Magamba. Na nikuhakikishie wewe VUVUZELA kwamba Umuombe sana Mungu Usiku na Mchana ili CDM ishinde kuliko LOWASSA awe Rais wa nchi hii kwani UTANYONGWA hadharani.
Nyie Maccm watu wa ajabu sana.Hata sijui kwanini MUNGU anachelewa kuwaita,mbele za HAKI watu Wanafiki kama nyie.
MUNGU IBARIKI TANZANIA!!!!
MUNGU IBARIKI CHADEMA!!!!
Kama unahisi niya uwongo nenda mahakamani na ikibidi lifungien hilo gazeti,naona wewe na mjomba ako Nape mnatapatapa..Ndiyo maana kila siku ninasema kuwa Tasnia ya habari Tanzania kwa sasa IMEINGILIWA. The media is Politically motivated with network of corrupted journalists, reporters, editors and bloggers.
Hii sehemu ya habari imebeba habari nzima. Lakini ukiisoma paragraph kwa umakini utagundua kuwa huyu mwandishi wa habari alikuwa anachanganya UKWELI na UWONGO wa kiwango cha juu katika habari yake kiasi cha kushindwa kuziba mashimo ya mapungufu ya mzizi wa habari yake.
Test ndogo. Kuna sababu gani ya huyo mtu wa karibu kutokuandika jina lake kwa habari ambayo kwa mleta article niya kweli isiyohitaji analysis. Hii ni ishara tosha kuonyesha, nini kilichoko nyuma ya habari yenyewe.
Ngoma ikipigwa sana.....
Mpaka kufika 2015, tutaona na kusikia mengi.
Ukweli upi alionao,mmeshikwa pabayamkuu nape, tunashukuru kwa kukanusha huu udaku, lakini ni vyema ukatuwekea uhalisia wa kile kilichozungumzwa kwa faida ya jukwaa
Umoja upi kama Mwenyekiti kamsifia Lowassa nyie povu la nini linawatoka..ccm ni moja daima, watu wanalijua hili ila wanajipofusha na kuziba pamba masikioni
Yaani wewe kwa uchambuzi wako finyu umeona mwandishi wa habari ndiye alikuwa na uharali wa kuingia kwenye kikao cha wabunge wa CCM zaidi ya Katibu Mwenezi wa CCM Taifa. Forlorn hope!!Kikao hichi kilikuwa cha ndani kati ya Rais Kikwete na wabunge wa CCM.
Nape wewe sio mbunge wa CCM, sijui kama ulihudhuria hicho kikao, na kama ulihudhuria, ulikuwa kama nani?
Haya basi Nape tupe huo ukweli wako unaoujua kama kilichoandikwa na mwananchi ni Uongo.