Ni kweli mkuu dunia nzima sasa inajua kuwa rais wa Tanzania ni mgonjwa habari zinasambaa kama nini ni sawa na habari za ugonjwa wa Umaru Yar'Adua RIP wa Nigeria, sema vyombo vya nje havina interest kumbwa na nchi yetu kama Nigeria ingekuwa balaa. Lakini nafikiri litaibuka siku za mwishoni mwa kampeni ambapo vyombo mbalimbali vya nje vitakapoanza kufatilia uchaguzi lazima vitamhoji.Swaumu hapana. kwa kuwa naamini Daku analopata Rais si la mchezo. anaweza kukaa na njaa wiki moja. Sukari nayo ni out. Wataalamu wanasema hadi ifikie kukolapse ni muda mrefu sana na pia si rahisi kwa well taken care kama Rais. Wengine wanadhani ni Skadi la yahya alisahau sehemu kumbe kaweka negative no kwa direction kumbe alitakiwa kuweka positive na hivyo skadi likarudi nyuma....
lakini kikubwa ni ile huzuni. hata mimi nikianguka katika kibanda changu cha mkaa tu ntaficha uso. sembuse rais.... dunia nzima imeandika hilo tukio ambalo ukiligoogle sasa hivi lipo kila nchi. china, india, zambia, etc etc. Mimi namwombea Mungu tukio hili liwe la mwisho kwake.....
piga chini madaktari wa raisi ni wazembe na hawamshauri vizuri!! Kuna siku yatatokea makubwa zaidi ya haya!!!
Wanadai wamempunguzia siku za kampeni na kwamba eti sukari ilishuka kwa sababu ya swaum. Simple answers for difficult questions! Afichaye maradhi....!
It sounds like true.Ndo maana wajanja wana yajua haya, wanachota pesa harafu wanajua aliyeko madarakani ni mgonjwa hawafanyi lolote!