JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,393
- 9,668
Ajiamini wampige ESCROW?JK Kiongozi anyejiamini
Waliomfuata baada yake wako very insecure
Mmoja akaamuru Lissu amiminiwe risasi auawe
Mwingine kampa Mbowe kesi ya Ugaidi
Yaani wanatumia miguvu miiingi badala ya kujibu hoja kwa hoja