Kikwete aliuwezaje huu usanii wa "hata mi mwenyewe ndo nalisikia saa hizi"?

Hivyi yule Ulimboka aling'olewa meno,kucha,kwenye utawala gani?
Hivyi Mwakyembe alinyonyoka nywele enzi zipi?
Vipi Mwangosi ilikuwa utawala wa Jiwe?
Alyehusika ktk Hilo Ni mbuge HV Sasa ranadhani igondo wa ilongero amechukuwa nafsi ya nyalandu
 
Hivyi yule Ulimboka aling'olewa meno,kucha,kwenye utawala gani?
Hivyi Mwakyembe alinyonyoka nywele enzi zipi?
Vipi Mwangosi ilikuwa utawala wa Jiwe?
Marehemu Dr. Mvungi, Mtikila, Mwangosi, Mabomu ya Olasiti ilikuwa kipindi cha nani?
 
Usanii unalipa sana mzee; angalia maisha ya wasanaii wanaoimba "Inama" yalivyo tofauti na maisha ya madakatari wanaofanya operesheni kuokoa maisha ya watu. Usanii ni dili sana.
 
Hapa Wamejazana wale Waliokuwa Wanaomsifia Mama Kwamba Kaanza Kwa 'Kuupiga Mwingi' Lakini Mama Hakuishia Kuupiga Kwa Kina Sabaya Akawageukia Upande Wa Pili.... ! Sasa Sifa anarudishiwa JK..! JK huyu huyu ambaye Kipindi chake Kina Mnyika Walimuimba kuwa Raisi Dhaifu haijapata kutokea TZ.
MNACHOSHA...!
 
kwa aina hii ya utovu wa nidhamu kwa viongozi wetu wastaafu ndio imepelekea kwa watukutu kuumia.
angalia tu hata uandishi wa mleta mada, ametumia lugha isiyo na heshima kana kwamba hana wakubwa ktk jamii yake.
hata mm ningekuwa kiongozi kamwe nisingevumilia au kulea tabia za kifedhuli, tubadilike, tusiishi kwa mazoea, kila zama na kitabu chake.
 
Kuna siku waandishi wa habari walimbana kwamba wananchi wanasema wewe Mzee wewe unasafiri safiri saana.. akachekaaaa akawaambia hivi nyie mshafuga mbwa? kawaida ya mbwa hutembea huko na huko walau akipata fupa apelete wakagawane na waanae ili siku ipite.

akawauliza tena swali lingine....kama hamna basi niacheni nikapumzike safari ilikuwa ndefu saana.

Huyo ndiye JK Mzee wa stress free.
😂😂😂
 
Hapa Wamejazana wale Waliokuwa Wanaomsifia Mama Kwamba Kaanza Kwa 'Kuupiga Mwingi' Lakini Mama Hakuishia Kuupiga Kwa Kina Sabaya Akawageukia Upande Wa Pili.... ! Sasa Sifa anarudishiwa JK..! JK huyu huyu ambaye Kipindi chake Kina Mnyika Walimuimba kuwa Raisi Dhaifu haijapata kutokea TZ.
MNACHOSHA...!
Shida upinzani wakiwa favor wanaota pembe na hata ukiwa kiongozi mzuri watakuchafua tu. Hata mama alitaka kuwapa nafasi wakaanza vitisho na kutishia maandamano nchi nzima
 
Mkuu hata Angela Merkel anaimbiwa udhaifu..

Rais lazima asemwe na kukosolewa. Mbaya uutake uraisi halafu hutaki kukosolewa wala kusemwa
 
Shida upinzani wakiwa favor wanaota pembe na hata ukiwa kiongozi mzuri watakuchafua tu. Hata mama alitaka kuwapa nafasi wakaanza vitisho na kutishia maandamano nchi nzima

Kazi ya upinzani unaijua mzee. Siyo kuimba mapambio. Ni kukosoa kwa kwenda Mbele.

Kwanza lifahamu hilo ili na wewe ukiupata Urais usiwapige Magongo
 
Angekua hajiamini na kilaza kwa hizi kelele zenu za week nzima angeshaamrisha Abubakar aachiwe, kapiga zake kimya anaendelea na mishe zake za kuwatumikia waTZ, nyie tukaneni hadi mchoke, Abubakar sasa yupo Segerea na anaweza kula 30yrs or maisha kabisa. Endeleeni na matusi yenu, hayana impact yeyote kwake na kwa wananchi
Jinga kabisa sasa akifungwa we ndio utageuka mwanaume?utaendelea kuwa mwanamke tu kmmk
 
JK Kiongozi anyejiamini

Waliomfuata baada yake wako very insecure

Mmoja akaamuru Lissu amiminiwe risasi auawe

Mwingine kampa Mbowe kesi ya Ugaidi

Yaani wanatumia miguvu miiingi badala ya kujibu hoja kwa hoja
Hata enzi ya mkwere kuna kidume kiling'olewa meno, kucha na kuumizwa sehemu za siri na kuna mwanahabar alitobolewa jicho getin kwake wakat anasubir kufunguliwa aingie ndani
 
Marehemu Dr. Mvungi, Mtikila, Mwangosi, Mabomu ya Olasiti ilikuwa kipindi cha nani?
Mabomu ya olasiti mtuhumiwa anamfanyia masaji nyapara mida hii inasubiriwa mahakama ithibitishe lkn yote hayo kipind cha mkwere
 
Back
Top Bottom