kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,703
- 20,606
wewe unayo PhD?Hivi Membe anayo PhD au hana? Kama hana atumie muda huu kuipata, baada ya kuangaikia urais ambao hawezi kuupata kamwe.
wewe unayo PhD?Hivi Membe anayo PhD au hana? Kama hana atumie muda huu kuipata, baada ya kuangaikia urais ambao hawezi kuupata kamwe.
Ndiyo ninayo nimeipata 2004wewe unayo PhD?
Kipchoge, bingwa wa Marathon!akageuka nani?
Report ilitakiwa iwe siri kati ya Mwl na watu waliotumwa hilo jambo iwe "ofisi nyeti" au individual sasa mtuhumiwa kujua nani alimsaidia inaua impartiality na independence ya wahusika.Kumbuka urafiki haukuwapo kabla au wakati wa upelelezi bali ulikuja baadaye. Sidhani kama kuna kosa hapa kwa sababu kama "hukumu" tayari ilishatoka.
Report ilitakiwa iwe siri kati ya Mwl na watu waliotumwa hilo jambo iwe "ofisi nyeti" au individual sasa mtuhumiwa kujua nani alimsaidia inaua impartiality na independence ya wahusika.
Jingine ni la moja wa watuhumiwa kuwa anafikia nyumbani kwa aliye to a report juu ya tuhuma.
Lingine la mtu wa offisi nyeti kupigiwa simu na mtuhumiwa kumuuliza JKN nafasi za vijana ktk kinyangiro
Na lingine la mtu wa offisi nyeti kuchukua likizo na kuwa ktk kampeni za mtuhumiwa. Biased
Ukitilia maanani kila moja aliendelea na kazi yake na hata kazi ya kisiasa haitaki vitu vinavyoweza kuharibu uhuru wako ktk kutoa maamuzi

wewe kabishane na DENIS MEMBE mtoto wa mwisho wa Bernard anaetegemea kufanya mtihani wa kidato cha 4 mwaka huu
Mkanganyiko wa stori lazima uwepo kwa kuwa mwandishi lengo lake kuu ni kuonyesha weledi/uzuri wa Membe, so yeye kuwa bias ni jambo la kutegemewa,Leo tunaletewa tofauti. Tupewe ufafanuzi ukweli wa historia ya Monduli ni upi?
Ya nimekuelewa ILA pia mtoa HOJA hajatuambia kuwa safari yake aliyotumwa Arusha na President Nyerere(rip) ndio kilikuwa chanzo cha uhusiano wao,ila nimemwelewa kuwa President Kikwete alijenga imani naye maana alimpa naye nafasi ya kuongea ya upande wake,haki ambayo alinyimwa katiak uchunguzi wa awali,tuendelee kumsoma mtoa hoja .Mkuu;
Rais Nyerere hakumtuma ili kwenda kutafuta marafiki bali alimtuma ili kufanya kazi tena ya SIRI bila mtuhumiwa/watuhumiwa kujua. Hii siyo kazi kama mtu anayenda kutafuta wateja wa biashara!
Kwa nini unadhani Membe hakuanzisha urafiki wa karibu pia na upande wa pili (Mkuu wa chuo)? Kwa nini wakawa marafiki wa karibu baada tu ya Membe kurudi Dar es Salaam?
Jaribu kuangalia hili suala kwa upana zaidi na sio kujikita kwenye dhumuni la mada pekee!
Kitendo hiki alichokifanya Membe alipaswa kuchukuliwa hatua za kinidhani kwa kosa la code of ethics.
Alivyo pelekwa ubalozini ilikuwa nI kutokana na kazi yake hivyo alipokuwa anazungumza na Mwl ni kutokana na kazi yake hivyo kwa kufanya ukuwadi akiwa kazini nI kosa, mtuhumiwa alivyokuwa anamtembelea sea view au popote alivyokuwa anaishi akiwa bado ni mfanyakazi wa serekali ni kosa , kumpa taarifa mtuhumiwa nalo ni kosaHaujaelewa vizuri mkuu....tulia harafu soma tena,izi makala..
Umeunganisha matukio yaliotokea Ndani ya muda mrefu...umeyafanya ionekane kama yametokea ndani ya muda mfupi sana
alllah!! Kuumbe ngoja nikufuatiliye make hili jambo ni lako tuuu...ila na mie nataka kusmea huko scotlanda....Membe tuelezee mi napenda stories kama hizi.ni nzuri na sina shida nazo.ILA URAIS SAHAU NDUGU YANGU.SAHAU KABISA MEMBE.HILO HALITATOKEA. ENDELEA KUTUPA STORIES NDUGU YETU MEMBE. MI NAJUA WEWE NI MEMBE NA UNA IDs nyingine 3 humu.
bado tu na wewe ni membe yuleyule !!! Usalama bobevu ndo mlifundishwa ivi...usitupindishe akili hapa.Mwandishi sio Bernard Membe, ila ni mtu ambaye anamfahamu Membe au walifanyakazi pamoja. Kwasababu angekuwa ni Membe ndio mwandishi basi hizi habari za Monduli ambazo ni kweli, angeziweka vizuri sana na pia kuna mambo ambayo mwandishi hayajui vizuri
Labda jambo la kujifunza hapa ni je Jk alifahamu kwamba Membe anampeleleza na atatoa taarifa yake ikulu?Mkuu;