Levels baby
JF-Expert Member
- Sep 26, 2019
- 831
- 768
Ndio maana Mufuruki analetaga sana dharau kwa mzee baba kumbe anamfahamu nje ndaniJiwe anamchukia sana Ali Mufuruki, walisoma wote Lake Secondary alafu Ali akatusua vibaya sana, huku JIWE akiambulia scores za kwenda vocational training.
Sasa badala hata akili zimjie kwamba kumbe kufaulu au kufail masomo hasa haya secondary sio issue jamaa bado anayang'ang'ania, yanamuumiza kwelikweli. Yaani huwa najiuliza haamini kama yeye ndio Rais au nini?
Juzi alikuwa zambia akajifanya kuchomoa kuongea kiingereza, tena akamtolea maneno ya shombo mkalimani anamforce kuzungumza kichewa eti ndio rugha yao wanayoielewa. atafsiri kutoka kiswahili kwenda kichewa.
Dakika mbili hazikupita yeye mwenyewe akachomekea neno la kiingereza kwenye hotuba yake, nikasema iiiishi.