Kikwete alijiandaa kuhamia CHADEMA

Chadema ina wanachama wengi sana wengine hata CDM leaders hawawajui, yes wakati hule Kikwete alitumia hadaa kama kawaida ya viongozi wa CCM na alioneka kama mtu makini hakuna mtu hakumkubali kuwa anaweza kuwa moto wa matatizo yetu kama ni wakati ule yes hata mimi ninge mkubali lakini hatukumjuwa na ndio maana hata Mbowe kaachana naye 100% amebaki na Zitto peke yake. Hana tofauti na Maalim Seif, Dr. Bilal na wanafki wengine halitudanganya na ndio maana alishinda kwa kishindo 2005.

Kati yao wote hawafai wala wasifikire siasa wakae pembeni wasubiri viongozi makini wawatie pingu, Lowasa kuja CDM ni akili mbovu ya wana-CCM wa humu JF wanadhani CDM members wote ni wajinga kama wao! huo upuuzi hauwezi kuwachanganya wana CDM huo ni mzigo wenu kila mkiutuwa chini tutawawekea kichwani mpaka mfe nao, kumbukeni kuwa Lowasa ni PM mstaafu na pia ana siri nyingi hata wizi wa Kagoda na fedha zote ambazo CCM imekuwa ikiiba kutoka serikalini kwa matumizi yake ya Kifisadi anazijuwa zote, hamtaweza kumuepuka mtakufa naye Kikwete ametumia Uislam na Uraia kumuhadaa RA ajiuzuru kuwachanganya EL na CHenge lakini bado ngoma nzito hawezi kuicheza itamtowa nyongo.

Lowasa hauziki labda ndani ya CCM ambako wanategemea wizi wa kura!
Duh, apo CCM wanalo hilo. Lakini Lowassa hahitaji kubebwa. Ni kama Zitto tu, anaweza kujijenga mwenyewe.
 
Unaongea upumbavu na huu ni upotoshaji wa wazi,lete source ya unachokisema usilete assumption hapa
Punguza hasira mkuu kuna watoto hapa, wasije wakajua kwamba mzee mzima huwa unakasirika. Watu mnajifanya mna hasira, lakini Lowassa akitokea hapa utasikia eenh, he hehee unajua wewe unakubalika sana... basi tu...
 
Ni mawazo tu, na msema hovyo ametoa mawazo lakini ni kama ametumwa kupima upepo! Ila ukweli ubaki kuwa ukweli kazi ya CDM ni harakati za ukombozi pamoja na ukombozi wenyewe, Kwa hiyo mimi nasema hivi mafisadi hayawezi kushika dola kwa njia zozote, bora wapitie ccm ili tujue kuwa bado vita ya ukombozi inaendelea. peeeeeeeeoples...........................
 
Hehehe, ukombozi wenyewe utapatikanaje bila mitaji ya kutosha? Si unajua watanzania wanapigia kura mwenye pesa ya kutosha? Sitta alishawaambia mtabaki kuwa wapinzani daima.
 
Itabaki tetesi.Lakini kama unavyodai ni kweli,je ingetokea Kikwete akahamia chadema na ccm wakamsimamisha Salim,wewe unadhani Kikwete angeshinda?Kuhusu Lowasa na kundi lake kuhamia chadema au kuanzisha chama kipya cha upinzani kuelekea uchaguzi wa 2015,naona ni habari njema tu!

Mkuu kwa ule mtandao JK hata kama angehamia Demokrasia Makini angeshinda tu na CCM ingemegeka mapande mapande na huenda tusingekuwa tunaongelea mambo ya CCm hapa kwa kuwa kusingekuwa na kitu inaitwa CCM!!
 
Hakuna ushahidi wowote wa kimazingira wala wa kihalisia unaoonyesha kwamba Lowassa aliwahi kufanya ufisadi wowote. Akiwa kama waziri mkuu ilikuwa ni halali kabisa kwake kumpress msabaha aharakishe upatikanaji wa umeme. Mlitaka anyamaze kimya kama alivyonyamaza mtoto wa mkulima hivi sasa huku nchi ikiendelea kuumia na mgao mkali wa umeme?

Mkuu usemayo yana hoja japo watu hawataki kusikia hayo kwa kuwa Lowassa amechafuliwa hadi ndani ya vijiji vya ujamaa. Unakuta mtu anatoka shambani na jembe la mkono anasema Lowassa fisadi ukimuuliza fisadi wa nini anang'ang'ania tu Lowassa fisadi!! imi najua Lowassa ni mtu wa kuforce mambo na kutaka yatendeke na aliforcr mengi yakatendeka ikiwa ni pamoja na kulazimisha michango ya kujenga shule za kata; shule zikajengwa (nasema shule zikajengwa sisemi waalimu wakawepo). Hadi sasa tuna majengo ya shule kila kata - Huwezi kutenganish shule hizi na Lowassa pamoja na matumizi yake ya nguvu ili kufanikisha mambo. Kenye suala la Richmond mimi nadhani pia aliponzwa na utumiaji wake wa nguvu ili mambo yaende!! Alihangaikia sana mambo ya umeme hadi akaenda Thailand kutafuta watengeneza mvua!!
 
You said it mkuu. Mimi hadi kesho ninamkubali sana Lowassa. Ninamwona ni kiongozi jasiri sana.
 
Back
Top Bottom