Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,639

<br / vip mkubwa umeandika kihaya nini??Angel amlele..!

<br / jirani sijakuelewa "AKULELE" ni kidhungu, kihaya au kichina?Mchawi mpe angel akulele
"angel meanz mtoto mchanga"
Yah ni jambo la kidipromasia zaidi!
Walinzi wa rais Kabila wa Congo ni watz hii ilikuja baada ya serikali ya tz kushindwa jaribio lake la kumuua likiratibiwa na mkapa siku aliyouawa makamu wa rais watz
Baada ya kubumbuluka kabila alitaka kulifikisha suala hilo UN ndipo tz ikaomba radhi kwa kutembelea magoti kabisa, kabila akawaambia kuwa usama wa maisha yake anaukabidhi kwa tz!
Tangu hapo ulinzi wote wa ngazi ya juu pa Ikulu ya kinshasa ni wa kibongo!!
Mods washa izuia zaidi ya mara tatu nilijaribu bila mafanikio nikaambulia bun!
Mnakumbuka huyu Dogo anayejiita Nova Kambota,alidai amesoma Ilboru,alikuwa anapost nyingi sana za Kumkashifu Dr Slaa kipindi cha uchaguzi,alikuwa anajitanabaishsa kama mwanaharakat asiyevutiwa na Siasa za CHADEMA, leo hii kwa maneno yake anakubali kuwa Dr Slaa ni Tishio kwa CCM na serikali yake.
Kwa kawaida kwenye maisha hata uendeshaji wa nchi kuna siri kubwa lakini kwa hili la sasa hakuna tena usiri bali ni ukweli kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano Mh Jakaya Mrisho Kikwete ambaye pia ni mwenyekiti wa chama cha mapinduzi CCM amejiapiza kuongeza ulinzi kwa kiongozi mkuu wa upinzani nchini na katibu mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa.Ingawaje taarifa ambayo kwa mara ya kwanza inachapwa kwenye tovuti hii lakini ukweli utabaki hivyo kuwa kutokana na umaarufu unaozidi kukua wa Dr Slaa huku pia idadi yake ya maadui ikikua kwa kasi pia wadau mbalimbali wa ndani na nje ya nchi wamemtaka rais Kikwete kuhakikisha kuwa mwanasiasa huyo hadhuriwi na mtu kwa madai kuwa jambo lolote baya dhidi yake linaweza kuleta hali ya vurugu nchini au taharuki kutoka kwa maelfu ya wafuasi wake.
Hali hii imemshawishi rais Kikwete na serikali yake kuongeza ulinzi kwa kiongozi huyo huku taarifa zaidi zikibainisha kuwa licha ya kuwa mwanasiasa lakini pia Dr Slaa ni raia kama watanzania wengine na anahitaji ulinzi wa maisha yake pia.
Tovuti hii inatoa wito kwa watanzania wenye tabia ya kubisha pasipo hoja au utafiti kufanya upelelezi kwenye mikutano ya Dr Slaa na misafara yake ndipo watabaini ni jinsi gani uongozi wa rais Kikwete unafanya kazi ya kumlinda kikamilifu Dr Slaa ili asidhuriwe na wabaya wake.
from .novakambota.com

Na mtasema sana tu

makubwa hayo,ni kama paka kumlinda panya.teh,teh!
acha kulilia penalt wewe!Mods mko wapi?

from novakambota.com
Porojo za Kambota kutoka Facebook hadi JF! Hivi huyu Dr Slaa si ndie yule Padri aliepora Mke wa Mtu? Sasa maadui wake kama Mshumbusi watamuacha? Dr Slaa ameona ana kosa la kupora wife wa mtu anataka Serikali impe ulinzi! Haahahaha janja ya Nyani kula hindi bichi! Lazima Mshumbusi akufanyie kitu mbaya Dr Slaa,malipo hapahapa duniani! Kamuombe radhi Mshumbusi yaishe uishi kwa amani Dr Slaa!