Jamani hajaongea lolote la maana na nina uhakika ndo kazidisha moto, alichofanya ni kupiga story na alikua wapi sikuzote hizo hadi aje kuongea leo? kwa nini asubiri hadi wengine wawe wakali na kukataa malipo hayo ndio leo ajitutumue azungumzie Dowans, tena kwenye sherehe za CCM ili mambo yakiwa magumu aseme kuwa alizungumza kama Mwenyekiti wa CCM na sio RAIS, na mtaamini maneno yangu
Amekiri kuwa Richmond ni kampuni hewa na ndiyo maana alimtahadharisha Msabaha kuhusu kuwalipa Richmond down payment, ameonekana kuutambua mkataba wa Dowans kwa kusema tumetumia umeme wa Dowans miezi tisa na kuutambua ushindi wa Dowans dhidi ya Tanesco ila baada ya malalamiko mengi ameemua serikali isiipe fedha Tanesco ili kuona jinsi ya kuweza kuepa au kupunguza malipo hayo!Kama amekiri wazi kuwa Richmond/Dowans kampuni hewa, sasa basi Rostam Aziz, mbunge wake aliyehusika kuisimamia Kampuni hii feki kuchukua tenda, anamfanyaje???????????? Atueleze bayana hapo.
Ameona hadhi yake inashahuka kila uchwao na moja ya chanzo ni Dowans. Ok amejitahidi kujisafisha sasa sijui kama wananchi watamuelewa husussni njia aliyotumia ya kuongea kupitia sherehe za chama chake.mimi nahisi leo JK aliazima akili ya Mzee Mwanakijiji kwa muda mfupi alipokua akiongelea DOWANS
Shika adabu yako!In short Ikulu ya Tanzania hamna rais bali mtu mjinga.
Shika adabu yako!
Shika adabu yako!