Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,890
- 6,899
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na kiongozi wa Serikali ya Mpito ya Libya,
Mustafa Abdel-Jalil , jijini New York, Marekani,
ambako wote wanahudhuria mkutano wa 66 wa Umoja wa Mataifa.
Wiki chache zilizopita serikali ya Tanzania kupitia waziri wa mambo ya nchi za nje Membe ilisema haitambui serikali ya mpito ya Libya na kumshinikiza balozi wa Libya nchini kutoendelea na zoezi la kuipeperusha bendera ya serikali mpya mlingotini, bali bendera la Gadafi ndiyo inayotambuliwa,
Je, serikali yetu itarudishaje kauli yake ya kutoitambua serikali mpya ya Libya wakati kiongozi wake kapokelewa umoja wa mataifa?
Tanzania haiwezi kutambua serikali ya waasi ambao hawajaapishwa wala hawana mihimili mitatu ya dola.

Una maana nchi ya Libya haina utawala? Who is responsible to the Libya nation and internation isues? Nani anatawala libya kwa sasa Libya?
Tanzania haiwezi kutambua serikali ya waasi ambao hawajaapishwa wala hawana mihimili mitatu ya dola.
Halafu eti viongozi wa aina ya Membe na JK nao huwa wanajilinganisha na Nyerere na serikali yake haaaaaaaa ahaha ahahahah ahahahaha!!!!!
Tanzania haiwezi kutambua serikali ya waasi ambao hawajaapishwa wala hawana mihimili mitatu ya dola.
Tanzania haiwezi kutambua serikali ya waasi ambao hawajaapishwa wala hawana mihimili mitatu ya dola.
Bila shaka bado mnamtambua gadafi ingawa serikali yake haipo tena madarakani na haitakuwepo tenanchi haiwezi kupinduliwa kwa pick up.wale ni wahuni tu wa bangazi.hatuwezi kuwatambua na hatutawatambua.by membe.
nchi haiwezi kupinduliwa kwa pick up.wale ni wahuni tu wa bangazi.hatuwezi kuwatambua na hatutawatambua.by membe.