Kikwete aitambua serikali ya mpito Libya?

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,886
6,883
09_11_wv3b4y.jpg

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na kiongozi wa Serikali ya Mpito ya Libya,
Mustafa Abdel-Jalil , jijini New York, Marekani,
ambako wote wanahudhuria mkutano wa 66 wa Umoja wa Mataifa.​

Wiki chache zilizopita serikali ya Tanzania kupitia waziri wa mambo ya nchi za nje Membe ilisema haitambui serikali ya mpito ya Libya na kumshinikiza balozi wa Libya nchini kutoendelea na zoezi la kuipeperusha bendera ya serikali mpya mlingotini, bali bendera la Gadafi ndiyo inayotambuliwa,

Je, serikali yetu itarudishaje kauli yake ya kutoitambua serikali mpya ya Libya wakati kiongozi wake kapokelewa umoja wa mataifa?
 
Candid Scope, Tanganyika hakuna serikali kuna makundi ya majambazi tu ambayo sifa yao kubwa ni kugombana mchana lakini usiku wote wanakuwa wahalifu. Ukifuatilia resolution za Kikwete utakuwa chizi
 
Tanzania haiwezi kutambua serikali ya waasi ambao hawajaapishwa wala hawana mihimili mitatu ya dola.

Una maana nchi ya Libya haina utawala? Who is responsible to the Libya nation and internation isues? Nani anatawala libya kwa sasa Libya?
 
09_11_wv3b4y.jpg

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na kiongozi wa Serikali ya Mpito ya Libya,
Mustafa Abdel-Jalil , jijini New York, Marekani,
ambako wote wanahudhuria mkutano wa 66 wa Umoja wa Mataifa.​

Wiki chache zilizopita serikali ya Tanzania kupitia waziri wa mambo ya nchi za nje Membe ilisema haitambui serikali ya mpito ya Libya na kumshinikiza balozi wa Libya nchini kutoendelea na zoezi la kuipeperusha bendera ya serikali mpya mlingotini, bali bendera la Gadafi ndiyo inayotambuliwa,

Je, serikali yetu itarudishaje kauli yake ya kutoitambua serikali mpya ya Libya wakati kiongozi wake kapokelewa umoja wa mataifa?

Kikwete na Waziri wake Membe wana ubavu zaidi wa kutoitambua serikali ya mpito Libya ambayo Umoja wa mataifa ulio juu ya nchi zote duniani unaitambua?
 
hapo ndo ambapo membe na jk mnaponivuruga akili kabisa.....
 
Tanzania haiwezi kutambua serikali ya waasi ambao hawajaapishwa wala hawana mihimili mitatu ya dola.

Halafu eti viongozi wa aina ya Membe na JK nao huwa wanajilinganisha na Nyerere na serikali yake haaaaaaaa ahaha ahahahah ahahahaha!!!!!
 
Jinsi gani tusivyokua na msimamo wowote kuhusu masuala mazito kimataifa; CCM kila mtu huibuka tu na lwake kila siku na kesho yake utadhani kama unaota vile unapomsikia mwenzao mwingine anapozungumza.

Libya nzima People's Power!!!!!! Bendera ya serikali ya mpito sasa ikapandishwe upya Dar na Mhe Membe awe Mgeni Rasmi kwenye uzinduzi huo.
 
Hiyo naiza kuita kukurupuka kwani membe akitoa tamko jk halisikii? Au hawashauriani mpaka itokee mkanganyiko kama huu?
 
nchi haiwezi kupinduliwa kwa pick up.wale ni wahuni tu wa bangazi.hatuwezi kuwatambua na hatutawatambua.by membe.
 
Wairudishe kwa nani,who are we after all.Sisi ni vijidudu tu ambavyo hatu-deserve tendo lolote jema.We are to be tramped upon as necessary.Kwanza hiyo ni njia moja wapo ya kuondoa any confidence we might have,so kwa mawazo yao they are on track.Kumbuka mawazo yao ni tofauti kabisa na ya kwako.What is right to you is wrong to them.Halafu Kikwete kuitambua NTC is the most natural thing for him to do.Ni mtoto wa the NWO,what did you expect him to do.Kutoitamua NTC would be suicidal.
 
Tanzania haiwezi kutambua serikali ya waasi ambao hawajaapishwa wala hawana mihimili mitatu ya dola.

Mkuu MKJJ, siku nilivyomuona Membe katika TV akitoa msimamo huu!!! Nilicheka halafu nikamhurumia. Halafu nikabaki na swali kichwani mwangu "where are leaders nowadays?"
 
kwa kweli ni aibu!
we have ashame presdent,
we have a shame government,
all of the ministers a full of shame also!
shame
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom