Nafikiri amemaliza muda wake, tumemlaumu sana sasa yuko Uraiani
tumuache apumzike, maana kupumzika ni pamoja na kuachana na lawama
nzito za kiuongozi ambazo zilimuelemea
Bado hajatuacha. Anachukua mshahara wa kutosha kulipa waalimu 100. Kwa nini tumwache wakati bado anaendelea kutugharimu sana. Tutamwacha atakapotuacha.
Imetengenezwa, sasa hapa ndo utajua ulimbukeni wa watanzania wa kudandia vitu bila kuwa na jicho au ubongo wa ziada!
Hiyo picha ndo support ya mleta mada kuwa JK alienda Mlimani City, maana yake stori yake yote ni UONGO, na watu wanatiririka hapa kumsapoti.

Kwa taarifa yako,hiyo picha ni kwa hisani ya Moderator na wala si mimi kama mleta mada.Hata hayo maelezo kwa kirefu pia ni kwa msaada wa mods hivyo acha upotoshaji wako maana mods hawawezi kufanya hayo unayoyasema.
Hilo gazeti limeshakuwa updated mtandaoni na hiyo picha ipo online katika gazeti husika.
Mbona ghafla, kutoka shopping za Mississippi,Michigan,London,Dubai na Shanghai mpaka mlimani city? Duh, hapo ni wiki mbili tu, naona mwezi mtukufu tutakutana pale Tandale kusaka futali!