Hata Jumapili iliyopita alikuja kutia story kwenyw Kijiwe chetu cha miaka zaid ya 40 cha Saigon Kariakoo kwa kweli huyu jamaa ni Charming sana, haachi vituko na vimbwanga, alikumbushia kiti chake cha miaka ileeee! I hope kama sio protocal anaweza kuonekana tena Lango la jiji au Ddc maana ni mpenzi sana wa mUsic wa Jazz na Country!!
Cha ajabu ni nini hapa? Ndiyo uzuri wa Tanzania, kamaliza muda wake ni raia huru anaingia madukani kama watanzania wengine wa kawaida! Kwa nini tusijisifu?
Mbona ghafla, kutoka shopping za Mississippi,Michigan,London,Dubai na Shanghai mpaka mlimani city? Duh, hapo ni wiki mbili tu, naona mwezi mtukufu tutakutana pale Tandale kusaka futali!
Mbona ghafla, kutoka shopping za Mississippi,Michigan,London,Dubai na Shanghai mpaka mlimani city? Duh, hapo ni wiki mbili tu, naona mwezi mtukufu tutakutana pale Tandale kusaka futali!
Huo ndio ukweli, anaogopa kusahaulika mapema, leo nimeona amerekodi kwenye tv akihamasisha watu wajitokeze uwanja wa taifa kushangilia timu yetu,.kwa kifupi TFF wamefanya nisiende huko taifa
Bongolala mama yako alokuzaa bar na janaume lisiyejulikana hadi leo, punguani mkubwa wewe usiyekuwa na dini wala akili, y unamtukana aliyekuwa raisi wako kwa miaka 10 kiasi hiki! acha tabia za kiyahudi hizo
Huo ndio ukweli, anaogopa kusahaulika mapema, leo nimeona amerekodi kwenye tv akihamasisha watu wajitokeze uwanja wa taifa kushangilia timu yetu,.kwa kifupi TFF wamefanya nisiende huko taifa