Nilisema ukiingia kwenye huu mjadala utaleta sura mpya, bora wewe! bora, bora ......, bora mtu wangu
Mkuu bora uwe shabiki, usisahau kutoa mchango kwa njia ya SIMU ila usiwasogelee karibu! wana kiongozi wa chadema mpaka 2015, 2020, 2035, mpaka 2050.
Strategy yako nzuri kabisa, fedha za michango zitasaidia kwenye kampeni, operation sangara na ziada watatumia kumlipa Mbowe!
si unajua mbowe anakidai chama, hili unataarifa nalo?
yaa, itakuwa bora kuliko ile ya kujaribu kula pande zote mbili! how 'bout that!