Mie nilidhani milioni 50 ni moja ya nane ya pesa zilizotolewa na mafisadi papa RA na EL kwenye kampeni ya kumng'oa Mwakyembe kule Kyela ... au kuna unachotaka kueleza zaidi?
ha ha ha ha
kwa hiyo moja ya nane inamfaa mbowe?
Mie nilidhani milioni 50 ni moja ya nane ya pesa zilizotolewa na mafisadi papa RA na EL kwenye kampeni ya kumng'oa Mwakyembe kule Kyela ... au kuna unachotaka kueleza zaidi?
Mbowe akitaka kugombea hahitaji hata hizo milioni 50 zenu hazitoshi hata mafuta ya helkopta halafu yale mawazo ya pesa pesa mbele ndiyo yanayokimaliza chama chenu akili yote iko kwenye pesa tu mko tayari hata kuuza nchi midenda ya kina RA EL na wapambe wake wanafikiri pesa ni msingi wa maendeleo jamani imewaingia hata watetezi wao humu sema ukweli usipolipwa mwezi huu utaendelea kuwatetea tuambiane ukweli
ha ha ha ha
kwa hiyo moja ya nane inamfaa mbowe?
ha ha ha ... hii fiesta ball ya wanachama wa chama cha mafisadi ambayo inaanza kwa waberoya kisha inapitia kwa mkamaP kabla ya kumalizikia kwa kubwajinga imeniacha mbavu zimevunjika zote!
Nilikuwa nasoma posts zao kidogo nicheke...Kubwajinga akitoa post MkamaP anajibu...naungana na wewe.......anakuja kumalizia waberoya.....well said... hakuna hata kuchalenjiana ndiyo maana mimi nikiwajibu huwa nawajibu kwa makundi makundi kama ya viazi sitofautishi

ha ha ha ha,
unataka kuanzisha ugomvi sasa ...... kitakuja kikundi hapa toka Kyela kikushambulie hadi ushangae.