Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,987
- 20,271
Katika hali isiyokuwa ya kawaida amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama rais Jakaya M Kikwete katika twitter kaandika hivi:
Popote tuwakatae watumishi wa umma ambao wanatumia nafasi zao kujilimbikizia mali.Vita hivi si vya Tume ya Utumishi pekee,ni vya taifa zima.
Updates
Baada ya wananchi kumbana kw maswali, hili ndo jibu la mh rais:
Kutumia nafasi uliyo nayo kama mwananchi.Ipo Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa & ile ya Haki za Binadamu na Utawala Bora
Washikaji zake tena haobinafsi nadhani ni wakati wa kumuonea huruma JK.... nafananisha hali yake na ile ya mtu umekaa na kuamua kuwasaidia maswahiba na ndugu zako tena mnaishi nyumba mkoja kumbe wanalala na mkeo kila ukienda kazini
we need to help him by demonstrating mabaya ya watu wake bila kuchoka, na kuna siku atafanya tusichotegemea
He is surrounded by mongoose
JK ni failure when it comes to curbing corruption.Kinacho nishangaza ni kuwa mkuu hana presha kabisa na presha za watanzania!
Kinacho nishangaza ni kuwa mkuu hana presha kabisa na presha za watanzania!