Kikwete aendeleza dharau na dhihaka kwa Watanzania!

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,977
20,243
Katika hali isiyokuwa ya kawaida amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama rais Jakaya M Kikwete katika twitter kaandika hivi:

Popote tuwakatae watumishi wa umma ambao wanatumia nafasi zao kujilimbikizia mali.Vita hivi si vya Tume ya Utumishi pekee,ni vya taifa zima.

Updates
Baada ya wananchi kumbana kw maswali, hili ndo jibu la mh rais:

Kutumia nafasi uliyo nayo kama mwananchi.Ipo Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa & ile ya Haki za Binadamu na Utawala Bora
 
Anaongelea mazoea tu, mbona yeye wamemzunguka amewafanya nini????????
 
binafsi nadhani ni wakati wa kumuonea huruma JK.... nafananisha hali yake na ile ya mtu umekaa na kuamua kuwasaidia maswahiba na ndugu zako tena mnaishi nyumba mkoja kumbe wanalala na mkeo kila ukienda kazini

we need to help him by demonstrating mabaya ya watu wake bila kuchoka, na kuna siku atafanya tusichotegemea

He is surrounded by mongoose
 
kwanza kabla ya kuchangia hoja na bisha hodi jamvini,... natamai mmenipokea ... aksante wote. lakini kabla ya kusahau nilichotaka kusema naomba niseme kwa kifupi tu "toa kwanza kibanzi kwenye jicho lako ndiyo utaona boliti kwenye jichola wengine", kwani huyu bwana anausafi gani, ana miaka mingapi kwenye utawala, ye zake ni kulalamika lalamika tu!
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama rais Jakaya M Kikwete katika twitter kaandika hivi:

Popote tuwakatae watumishi wa umma ambao wanatumia nafasi zao kujilimbikizia mali.Vita hivi si vya Tume ya Utumishi pekee,ni vya taifa zima.

Updates
Baada ya wananchi kumbana kw maswali, hili ndo jibu la mh rais:

Kutumia nafasi uliyo nayo kama mwananchi.Ipo Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa & ile ya Haki za Binadamu na Utawala Bora

kumbe naye rais wangu kikwete mwimba taarabu kama Nape. Majibu mepesiiii!
 
Katika zile amri kumi za Mungu kwasisi wakristo kuna ile amri isemayo usiseme UONGO! katika amri hii JK kweli huna lakujitete mbele ya Mungu siku ya hukumu kwa Mungu! Sijawahi kuona mtu muongo kama huyu baba.
 
Mbona weak leaks imefichua kuwa yeye ndiyo kikwazo cha kuwashughulijkia wala rushwa kwa sabababu yeye mwenyewe ana maslahi pamoja na wezi wa nchi?..............udanganyifu huu wa kikwete na mafisadi wake unalenga nini?...............kweli kikwete rais legheleghe anapwaya sana kwa sababu hawezi kusimamia kile anachokisema na ndio maana hata kauli mbiu yake ya uongozi ya maisha bora kwa kila mtz hawezi kuisema tena kwani anajua alikuwa anaadanganya tu watz
 
binafsi nadhani ni wakati wa kumuonea huruma JK.... nafananisha hali yake na ile ya mtu umekaa na kuamua kuwasaidia maswahiba na ndugu zako tena mnaishi nyumba mkoja kumbe wanalala na mkeo kila ukienda kazini

we need to help him by demonstrating mabaya ya watu wake bila kuchoka, na kuna siku atafanya tusichotegemea

He is surrounded by mongoose
Washikaji zake tena hao
 
Aaah mimi wala sina hata mpango wa kusikiliza au kusoma hotuba zake huyo Vasco da Gama Pori maana zinaweza kunitia munkari ya Kuingia Magogoni na kuwafurahisha watanzania wenye uchungu na hii nchi yao.
 
Kinacho nishangaza ni kuwa mkuu hana presha kabisa na presha za watanzania!
JK ni failure when it comes to curbing corruption.
Sisi wananchi pia, we are very corrupt!
Kwa mfano, CDM walikuwa na receipts za M-pesa (ushahidi tosha) kutoka camp ya mchange during BAVICHA elections.
Mchange huyohuyo alikuwa Igunga akihamasisha watu wampigie kura Kashindye.
Sasa hapo kuna tofauti gani na Mkapa a Rostam kumpigia debe Kafumu?
Ndio maana watu wanawaona wote sawa tu!! hata kura hawapigi.
 
Kinacho nishangaza ni kuwa mkuu hana presha kabisa na presha za watanzania!

Hapo ndipo penye shida na huyu muhishiwa!! Uwa nikimtafakari huyu jamaa nashindwa kuelewa nimuweke katika levo ipi ya uelewa maana levo ya ujinga na upumbavu amepilitiliza....
 
fake it until you make it ! CCEM Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee those tanzanian they got nothing to do infront of @*&$#!+~
 
Wananchi wanajitahidi kufichua madhambi ya watumishi wa umma na jinsi wanavyoihujumu jamii lakini mkweree na wenzie wametia pamba masikioni na wamevaa miwani myeusi; mfano mmoja hai ni jinsi wananchi walivyofichua conflict of interest pale OCEAN ROAD CANCER HOSPITAL!! Mkurugenzi wa hospitali na msaidizi wake wote wanahospitali zao binafsi zinazoshindana na OCEAN ROAD hospital, mmoja akiwa nayo huko Mwenge na mwingine huko Kigogo. Hawa jamaa wanaihujumu Ocean Road ili wagonjwa waende kwenye hospitali zao licha ya kufanya uharamia mwingine!! Sasa jamaa wanamtumia first lady kuwakingia kifua juu ya madhambi yao na mkweree anatulia wakati wananchi wanaumia; sasa wananchi anataka wamsaidieje wakati hawaoni matunda ya msaada wao?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom