Kikwete aenda kukagua shamba la mihogo

Kikwete aenda kukagua shamba la mihogo

hahahhahhahahh!!! katika siku ambazo nimecheka ni leo..
Shamba nimenunua kwao, nimefanya vibarua wa kujenga mabanda na sasa wao ndo nimewapa ajira, dereva wa canter, walishaji na wafagizi, wachinjaji na walima mchicha na mboga nyingine kwa samadi ya mnyama.

Aje akague kilimo kwanza na utoaji wa ajira kwa vijana wake wa ruvu.
 
Hiyo taarifa ni nusu nusu tu. Jee alikagua shamba la mtu binafsi au la kituo cha utafiti? Kwa sababu kama ni la kituo cha utafiti au la 'demonstration' yaani la mfano, basi anaweza kupata maelezo kutoka kwa wataalamu.

Siyo vibaya kufanya hivyo nyinyi kazi yenu kulaumu tu, au kwa kuwa ni muhogo? Munajua thamani ya muhogo katika nchi hii? Ni chakula muhimu katika jamii na hasa wakati wa njaa (food security crop). Zaidi ya asilimia 90 ya wakulima wa mazao ya chakula huwa wanavyo vishamba vya muhogo ijapokuwa vidogo. Muhogo unastahmili ukame na unaweza kukaa kwenye ardhi kwa kipindi kirefu kuliko mazao mengi.
 
ndio maana kaamua kuwekeza huko kwa sababu yeye sio mawingu na wala hawezi kuleta mvua
 
hii picha mbona kama uimechomekwa chomekwa tu?? ebu chek ao jamaa wa nyuma kule wanaelea
 
Hili zao la kimasikini sana....silipendi ingawa napenda kisamvu
 
GO9G8193.JPG

Rais Kikwete akiongea na wananchi baada ya kukagua shamba la mihogo katika kijiji cha Nawale wilayani Nanyumbu.
my take😱k kakagua shamba la mihogo.. je mvua isiponyesha na mihogo si itakufa? au atageuka mawingu ghafla mvua inyeshe?
swala la umeme vipi? anangojea mvua?

Aiseeh sasa anakagua mihogo
 
Hivi alikuwa anakagu na kumenya magamba ya mhogo au, maana utamaduni wao umewashinda hawa. Wakuu na shati lake la Eagle kalitowa wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom