Kikwete aenda kukagua shamba la mihogo

Kikwete aenda kukagua shamba la mihogo

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,030
Reaction score
59,683
GO9G8193.JPG

Rais Kikwete akiongea na wananchi baada ya kukagua shamba la mihogo katika kijiji cha Nawale wilayani Nanyumbu.
my take😱k kakagua shamba la mihogo.. je mvua isiponyesha na mihogo si itakufa? au atageuka mawingu ghafla mvua inyeshe?
swala la umeme vipi? anangojea mvua?
 
Eka tatu za mihogo zinakaguliwa na RAIS! mwe kweli rais kafuliaaaaaaaaa
 
anaingilia kazi za mabwana shamba

yeye ni bwana shamba au ni afisa kilimo au ni waziri wa kilimo au mbona sielewi ukaguzi wake umesaidia nini kuleta mvua au mihogo itaota na kuzaa zaidi au ni nini
 
nimeamini jamaa ni representative wa nchi yetu na sio rais..
 
hahahaha na zaidi anafanya mambo ya wale wa chini yake ambao walipaswa wafanye
 
Ni raisi wa wote, hana upendeleo, habagui wakulima! Wote kwake wana haki sawa
 
Ameshindwa kutatua matatizo ya watz huyu mzee,yupoyupo tuu
 
mbona sasa anaongea na watoto pamoja na akina mama njemba ziko wapi?
 
Anatafuta support ya wananchi wa vijijini baada ya kuona mjini wameshamshtukia kuwa ni kilaza...... Kazi anayo muhula huu, atakagua mpaka visivyokagulika. Alikuwa anafikiria uongozi ni kuchekacheka tu!!!!
 
Kaona mnalalamika sana safari zake za nje kwahio kaamua kufanya safari za ndani ya nchi kukagua mashamba.
 
Kaona mnalalamika sana safari zake za nje kwahio kaamua kufanya safari za ndani ya nchi kukagua mashamba.
jamaa lazima achoke na watanzania mwaka huu.. akienda nje wanalalamika ..akienda kukagua mihogo wanalalamika .. sasa sijui atafanya nini na mwaka huu tunae
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom