Kikwete aanza kukimbiwa

Status
Not open for further replies.
Kened haujielewi dc yupo hija

Kwani ameisaidia nini Lushoto hadi sasa? Ameshindwa kutatua mgogoro wa wanchi kufungiwa njia na Uongozi wa Hoteli ya Irente view cliff lodge ya kueleke view point. Amekuwa akitoa tu maneno laini kwamba njia ifunguliwe bila kufuatilia utekelezaji wake. Kama amekimbia akimbie tu.
 
Siamini hii habari si kweli, kwani mkuu wa wilaya ana kazi gani mpaka mtu aachie pesa za bure,gari ya bure, nyumba ya bure na miposho ya bure?

Heri kufa mashkini, kuliko kushimangiwa, heri kufa mashkini kuliko kushimangiwa na walimwengu, tamaa ilimuua fisi X2
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom