yule jamaa ni mnec anaitwa edwin sannda alishaletwa hapa jamvini... he is really smart, tatizo yuko chama kibaya because we will never realise his talent ndani ya mafisadi
hao wamama ni naona mmoja wa kushoto anapiga chafya tu
aiseeeeeeeeeeee
.. huyo mama aliyeinamisha kichwa kidogo afanane na festiledi? Ila hicho kitambaa ambacho kina uso wa mheshimiwa ikiwa inaelekea pembeni na inachekelea kwa furaha inaleta 'disturbing picture sana' hizi sare za CCM hazivutii sijui kwa nini :confused2:
Ila kwa mawazo yangu:
Mama aliyeinama lazima aliwaza "Mungu wangu! Not again! Je tutafika?"
Mama kushoto aliyefumba macho: "Aiseee!" alikuwa anaogopa hajui mheshimiwa amedondoka sababu gani ie kazirai au kibaya zaidi...
Mama wa pili kulia anayehangaika na begi "Sijui simu yangu nimeiweka wapi? Hii lazima nipige picha!"
Mama kulia kabisa "Mtajiju!" keshachoka kuona sinema inarudiwarudiwa
Jamaa mwenye pete (Edwin?): "Aiseeee! Nakwambia ni mpaka chini!"
:smile-big:
huyo mkatoliki tena alichafuliwa sana kwao huko kwamba ametumwa na kanisa katoliki, si unajua tena mambo ya udini?? usije ukafanya wamtimue aiseeEdwin Sanda simjui kabisa nadhani alikuwa anawasiliana na nguvu za giza!
acheni jamani............hiyo clip kwa maoni yangu naomba Mods waiondoe hapa JF........JK anaumwa............sisi ni binadamu pia........hivyo tusibeze kuumwa kwake..........
aiseeeeee
huyo mkatoliki tena alichafuliwa sana kwao huko kwamba ametumwa na kanisa katoliki, si unajua tena mambo ya udini?? usije ukafanya wamtimue aisee
acheni jamani............hiyo clip kwa maoni yangu naomba Mods waiondoe hapa JF........JK anaumwa............sisi ni binadamu pia........hivyo tusibeze kuumwa kwake..........
Unajua kuanguka kwa mjamaa huyu pale jangwani kunanifanya kila nifikirie naanguka kicheko. Hata siku nikikosa usingizi, nikikumbuka hiyo 'AISEEE' nabaklia kucheka peke yangu! Hii nchi kiboko kweli kweli .....wanatumia mabilioni kumrudisha mjengoni mtu wa namna hii!