Mwembeyanga wasiende watawakumbusha watu machungu ya List of Shame waende Mnazi mmoja au Kidongochekundu au Uwanja wa taifa.waende wapi sasa mwembe yanga ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Kweli lazima tuendelee kukumbusha mgombea wa CCM mgonjwa
Wenzake wanapotumia nafasi hizo kwa medical checkup yeye anaenda kubembea na mama Jamaica.Kama mawaziri na vimada wao wanafanyiwa medical check up nje ya nchi kwanini Kikwete asitumie nafasi hiyo kwenda kujitibu kuanguka anguka wakati wa Ramadan! Am Joking najua ugonjwa wake na tiba
Wenzake wanapotumia nafasi hizo kwa medical checkup yeye anaenda kubembea na mama Jamaica.
Sasa kwanini anatufunga kamba eti Tutajenga hospitali kubwa sana ya magonjwa ya moyo, kila mkoa utakuwa na hopitali ya rufaa,nk nk.Nimeambiwa anaamni sana wachawi na mashekhe kuliko tiba za hospitali
kadanganya sana wananchi............................YUKO DHAIFU KIAFYA NA YUKO DHAIFU KIUONGOZI PIA...
USHAURI WA BURE: KIKWETE AVALISHWE HELMENT KILA ANAPOPANDA JUKWAANI KWANI SUALA LA YEYE KUANGUKA JUKWANI NI KAMA UJI NA MGONJWA.Huyu mtu ni mgonjwa tena sana , ndiyo maana anapoteza kumbukumbu, si unajua ule ugonjwa ukifika kichwani tena.
Ha ha haaa, kweli itabidi siyo utani kuna siku atabamiza kichwa chini tuanze kuuguza kidonda cha rais, lakini siku hizi anapanda kwenye kibweta na ma bodyguard wawili mmoja special wa kudaka. Kama hivyo achague hermet kati ya hizi...USHAURI WA BURE: KIKWETE AVALISHWE HELMENT KILA ANAPOPANDA JUKWAANI KWANI SUALA LA YEYE KUANGUKA JUKWANI NI KAMA UJI NA MGONJWA.Huyu mtu ni mgonjwa tena sana , ndiyo maana anapoteza kumbukumbu, si unajua ule ugonjwa ukifika kichwani tena.
Ha ha haaa, kweli itabidi siyo utani kuna siku atabamiza kichwa chini tuanze kuuguza kidonda cha rais, lakini siku hizi anapanda kwenye kibweta na ma bodyguard wawili mmoja special wa kudaka. Kama hivyo achague hermet kati ya hizi...
Ni muhimu kujikumbusha hadi siku ya uchaguzi maana watanzania wasahaulifu sana wasije wakafanya makosa tena
WATANZANIA MTALIA NITAWAOMBEA KWA MOLA............nimesahau kidogo anayejua please amalizie nataka nianze mazoezi
Sijui hawa wameanza mazoezi tayari.............
Swali langu ni gumu kidogo:
Kuna anayewafahamu hao akina mama hapo? Hasa huyu wa kushoto?
Na yule Braza mwenye pete kubwa na kiselula sikioni?
Kuna yeyote mbunifu anyeweza kukisia walikuwa wanawaza nini at that time?
yule jamaa ni mnec anaitwa edwin sannda alishaletwa hapa jamvini... he is really smart, tatizo yuko chama kibaya because we will never realise his talent ndani ya mafisadiSwali langu ni gumu kidogo:
Kuna anayewafahamu hao akina mama hapo? Hasa huyu wa kushoto?
Na yule Braza mwenye pete kubwa na kiselula sikioni?
Kuna yeyote mbunifu anyeweza kukisia walikuwa wanawaza nini at that time?
yule jamaa ni mnec anaitwa edwin sannda alishaletwa hapa jamvini... he is really smart, tatizo yuko chama kibaya because we will never realise his talent ndani ya mafisadi
hao wamama ni naona mmoja wa kushoto anapiga chafya tu