Solomon David
JF-Expert Member
- Mar 1, 2009
- 1,148
- 16
Mkuu,
Siko hapa kufanya league na wala hilo haliko kwenye list yangu!
Umesikika vyema mkuu. Kama ulidhani kuwa hii ni league, natumaini kuwa wewe usingeuliza au kujaribu kukosoa wengine.
Mkuu,
Siko hapa kufanya league na wala hilo haliko kwenye list yangu!
That's correct.
Your record is clear that; almost a year ago, you went on record urging the Govt to buy Dowans power generation machines (whatever the name). For you, it was an emergence then (at is still an emergence now).
A whole year of emergence in making.
Great, na wewe ulifanya nini then na sasa kama Mtanzania kijana kama Mh Zitto.
Badala ya kujibu swali wewe nawe unauliza swali.
Jibu swali kwanza ili uwe kwenye nafasi nzuri zaidi ya kuuliza swali pia. Narudia swali langu.
-- kama kazi zote za utendaji wa serikali zinafanya (au zinatakiwa kufanywa) na wasaidizi wa raisi, kazi ya raisi ni ipi?
Mitambo ya IPTL ikiwashwa je, mgao wa umeme utakuwa haupo tena?
Kama sikosei taarifa zinasema kuna upungufu wa Megawati 150. IPTL wakizalisha hizo 100MW halafu Songas wakiwasha huo mtambo unaofanyiwa matengenezo wa 20MW zitakuwa zimebaki MEGAWATI 30.
Vipi kuhusu hizi 30MW itakuwaje? Je, watazifidia vipi ili mgao usiwepo kabisa?
Kusimamia wasaidizi wake kulingana na majukumu waliyonayo.
Kuna lile pendekezo la pili la Zitto -
kutaifisha (kununua kwa mlango wa nyuma) Dowans AKA richmond.
What do you mean by homework?
Solomon,
Tuongelee maswala ya mgao wa umeme/umeme kwa ujumla tumuweke Zitto pembeni kidogo, au kama vipi nenda kwenye thread yake hapo chini.
Siwezi kukujibu kwa sasa kwanza hapa nilipo umeme haujaja mpaka saa tano. Natumia cm ambayo charge inakwisha. Kulumbana na wewe ofcoz ni waste of time
Wakulu, kisheria hiyo mitambo ya IPTL kama inawashwa 'hovyohovyo' nikimaanisha in a reactive way bila kucheki mambo ya kisheria, hatutaishia kulipa tena hela za ajabu ajabu? kwa nini ilizimwa in the first place?
Jingine, kama inawezekena kuimuru IPTL iwashe mitambo yake, hiyo ya Dowans kinashindikana kitu gani na nimesikia ni 'ya kuwashwa tu'?
Zitto ameanza kujikwoti hapo juu kuwa yeye ndiye alitoa hili wazo la IPTL. Je alilitoa kama nani? umejiuliza hilo swali?
Siwezi kukujibu kwa sasa kwanza hapa nilipo umeme haujaja mpaka saa tano. Natumia cm ambayo charge inakwisha. Kulumbana na wewe ofcoz ni waste of time
Kwa sisi wazee wa muda sana hapa jamvini na kwa uzoefu wetu wa miaka mingi Duniani na jamvini na kwa uwezo wetu wa kusoma akili na hata mawazo ya watu waonekena una beef na Zitto . Sasa badala ya kuvuruga majadiliano haya kwa kuleta personalities nk tangaza rasmi bifu yako lakini his record is clear ni yeye kaja na kusema taifisha mitambo tuonane mahakamani . Ngeleja akaja akasema no .
Hebu tujadili vitu vya maana and we drop these nonsense all the time .
Nakupongeza rais kwa kufikia maamuzi hayo, ndiyo ni Zitto aliyetoa pendekezo hilo,japo umechukua muda kutakeaction,lakini umechukua, ni vizuri ukiwa kiongozi uchama huwe nawe mbali, usiangalie mawazo mazuri ya kuendeleza nchi yanatoka kwa nani, ni vizuri kuyafanyia kazi kama yanaliendeleza taifa letu hilo moja, la pili mimi natamani na ningefanya hivyo kama ningelikuwa kiongozi wa nchi, katika kutoa nyadhifa mbali mbali za nchi nisingeangalia mwanachama mwenzangu,nigeangalia nani ana huwezo,pamoja nae kuliendeleza taifa letu, nasikitika sana tena sana kwa kuona tuna watu wazuri tu wakipewa watafanya vizuri kulikoni wengineo,hawapati nafasi sababu tu ya uchama, tufikie wakati taifa liwe mbele kwanza.
Kwani JK alitumia kigezo gani kumteua Ngeleja?