HALELUYA MOSHI
JF-Expert Member
- Aug 14, 2014
- 2,121
- 1,206
Mimi nadhani ni mapema mno kutoa hukumu kwa raisi aliyepo madarakani kwani HATA kazi bado haijanza......
Tumesikia mipango na sera kipindi CHA kampeni na kwa sera hizo nzuri zenye kuleta tumaini jipya tukaamua kumpa KURA zetu....
Tunachokingoja sasa ni utekelezaji wa Yale aliyokuwa akituhubiria........lakini yeye kama yeye hawezi kuyafanya peke yake Bali atahitaji msaada kutoka kwenye timu yake....na wananchi kwa ujumla......
Anachotakiwa sasa ni kuwa makini katika uteuzi wa balaza la mawaziri.....
Nadhani kwa tuliowengi nyota njema ndio itaanza kuonekana hapo......kuanzia hapo ndio tutaanza kubashiri safari hii inayoitwa kuwa ni ya mabadiliko ya kweli......
TUMPE MUDA....
Weka na mambo ambayo hayakutekelezeka,pia tuambie na ile speech yake juu ya esrow saga,ule ndio usmart?Usitutie hasira
Ndio maana nasema hivi Magufuli anakazi kubwa huyo Jamaa niGamba lkn ameanza kununa sasa hayuko peke yake kwenye maofisi
Hapa ndio naanza kuamini JK na JPM picha haziendi... Ndio maana JK alijitahidi kufanya teuzi mpaka sekunde ya mwisho ili mashimo yake yasiwahi kufukuliwa mapema..
JPM ni Pure Mkapa, Mkapa na Mzee Mwinyi ndio wamemweka JPM pale na PM Majaliwa ni selection ya Mkapa ili yale mambo ambayo Mkapa aliyaweka sawa yafanyike kule kwao Kusini (Mtwara Corridor, Viwanda) ambavyo JK alivufuta na kupeleka Bagamoyo, Majaliwa akaviwekee kifuu na vifanyike.. Na ndio maana JPM aligusia swala la kuimarisha Bandari ya Mtwara, na kujenga reli na barabara mpaka Malawi...
jana nimesikiliza hotuba hotuba ya magufuli nikalinganisha na za jk, kuna jambo moja interesting. Hotuba ya jpm ilikuwa ni thesis kuliko speech, ililenga zaidi kuoanisha na akili za watanzania walio wengi, yaani was too theoretical.
Wakati jk akisema ataanzisha mradi fulani atakwambia na pesa kapata wapi, mfano aliposema ujenzi wa daraja la kigamboni alisema nssf ndo watakaotoa pesa na ndio watakuwa wamiliki wa mradi husika. Aliposema ataibadili kawe alisema nhc ndo wasimamizi na wamiliki wa ule mradi na pesa watapata kutoka exim bank china. Aliposema atajenga bandari mpya ya bagamoyo ni uwekezaji kati ya china tanzania na oman, jk aliamini zaidi katika fdi.
Sasa jana tuliambiwa ufufuaji wa viwanda hapo ilipaswa kusema je ni merger and acquisition au ni business repurchase? Mtu ukishamuuzia gari na akakulipa badae ukalitaka atakuuzia kwa bei atakayotaka yeye. Kuhusu mashamba yapo mashamba wenyeji walishalima na kujenga makazi je utawafurumusha urejeshe shamba? Yapo mashamba hati zilishakopewa bank hayo itakuwaje?
Kusema kuwa tuna ng'ombe wengi basi tutengeneze viatu tuvae wenyewe, hii haingii akilini, kiatu cha pure leather english boot kinauzwa zaidi ya laki nne, nani mswahili yuko tayari kununua hicho kiatu? Hebu tujiulize hizi ngozi huwa zinaenda wapi? Sijawahi sikia fuso la ngozi limekamatwa mpakani hivyo haziuzwi kwa magendo.
Amekiri mwenyewe kuwa mkulima wa pamba anatozwa shuru tozo kodi zaidi ya 26 huu ni unyonyaji wa waziwazi, lakini nani kaweka haya maushuru ushuru kama yeye anavyoyaita? Anadhani hayapo kisheria? Anadhani akina mbowe hawayaoni? Mbona hawapeleki miswaada bungeni kuyaondoa? Ukweli there is a chain of bureaucracy.
Machoweza kusema hotuba ya mkuu yalikuwa maono, sasa magufuli anahitaji wataalam wa uchumi na biashara ili waweze kutransform maono yake into practice.
Ni kweli kabsa hakutakuwa na jipya Magufuli atakuwa akitoa maagizo lakini utekelezaji utakuwa mgumu, JK na Mkapa wamepenyeza watu wao kwenye baraza lake mawaziri
na mfumo kubakia ule ule hivyo kuendeleza uchakachuaji na ufisadi kama kawaida.
Hapa ndio naanza kuamini JK na JPM picha haziendi... Ndio maana JK alijitahidi kufanya teuzi mpaka sekunde ya mwisho ili mashimo yake yasiwahi kufukuliwa mapema..
JPM ni Pure Mkapa, Mkapa na Mzee Mwinyi ndio wamemweka JPM pale na PM Majaliwa ni selection ya Mkapa ili yale mambo ambayo Mkapa aliyaweka sawa yafanyike kule kwao Kusini (Mtwara Corridor, Viwanda) ambavyo JK alivufuta na kupeleka Bagamoyo, Majaliwa akaviwekee kifuu na vifanyike.. Na ndio maana JPM aligusia swala la kuimarisha Bandari ya Mtwara, na kujenga reli na barabara mpaka Malawi...
Jana nimesikiliza hotuba hotuba ya Magufuli nikalinganisha na za JK, kuna jambo moja interesting. Hotuba ya JPM ilikuwa ni thesis kuliko speech, ililenga zaidi kuoanisha na akili za watanzania walio wengi, yaani was too theoretical.
Wakati JK akisema ataanzisha mradi Fulani atakwambia na pesa kapata wapi, mfano aliposema ujenzi wa daraja la kigamboni alisema NSSF ndo watakaotoa pesa na ndio watakuwa wamiliki wa mradi husika. Aliposema ataibadili Kawe alisema NHC ndo wasimamizi na wamiliki wa ule mradi na pesa watapata kutoka exim bank china. Aliposema atajenga bandari mpya ya bagamoyo ni uwekezaji kati ya china Tanzania na oman, JK aliamini zaidi katika FDI.
Sasa jana tuliambiwa ufufuaji wa viwanda hapo ilipaswa kusema je ni merger and acquisition au ni business repurchase? Mtu ukishamuuzia gari na akakulipa badae ukalitaka atakuuzia kwa bei atakayotaka yeye. Kuhusu mashamba yapo mashamba wenyeji walishalima na kujenga makazi je utawafurumusha urejeshe shamba? yapo mashamba hati zilishakopewa bank hayo itakuwaje?
Kusema kuwa tuna ng'ombe wengi basi tutengeneze viatu tuvae wenyewe, hii haingii akilini, kiatu cha pure leather English boot kinauzwa zaidi ya laki nne, nani mswahili yuko tayari kununua hicho kiatu? Hebu tujiulize hizi ngozi huwa zinaenda wapi? sijawahi sikia fuso la ngozi limekamatwa mpakani hivyo haziuzwi kwa magendo.
Amekiri mwenyewe kuwa mkulima wa pamba anatozwa shuru tozo kodi zaidi ya 26 huu ni unyonyaji wa waziwazi, lakini nani kaweka haya maushuru ushuru kama yeye anavyoyaita? anadhani hayapo kisheria? anadhani akina mbowe hawayaoni? mbona hawapeleki miswaada bungeni kuyaondoa? ukweli there is a chain of bureaucracy.
Machoweza kusema hotuba ya mkuu yalikuwa maono, sasa magufuli anahitaji wataalam wa uchumi na biashara ili waweze kutransform maono yake into practice.
Kumbuka JK na JPM wote ni made in Mkapa, usitegemee waparurane, sio kweli kuwa kassim kawekwa na Mkapa, sidhani hata mkapa anamfahamu.

Mkuu umetulia kwenye hoja zako,big up,ni kichaa tu ambaye hatakubaliana na wewe