Kikulacho ki nguoni mwako, RIP Magufuli

Jiwe katufanya tuwe watu tuliokosa matumaini ya kesho. Mungu akaliona hili na akaamua atoe kadi nyekundu.
 
Pole sana. Hakuna giza kuna mwanga wa kutosha sana tu. Kama hauridhiki na utawala uliopo, hama nchi kimya kimya.
The north-west area is the dangerous zone to hypocritically approach, treat, handle and play with mockery without subsequent rehabilitation to regain legitimacy.
 
Jiwe nakumbuka alisema yeye hashauriki, na ukimshauri ndiyo unaharibu kabisaaaa, sasa ulitaka mama afanyeje? Acha ujinga kachuke akili zako wewe mwendazake hatokusaidia kukuletea tena msosi mezani
 
Mkuu,Sasa kama mtu unayepaswa kumshauri anakudharau utafanyaje?.

Kuhusu kumponda jiwe,Bora hata mama anamponda kwa hekima.Je unakumbuka Hayati wako alivyokuwa anawadhalilosha watangulizi wake hadharani?.
 
mama ni mkweli hatayeye maza hakuwa na pa kupumulia alibinywa sana na jiwe,jiwe alikuwa sikio la kufa hakuwa anasikia hata ushauri wa maza,mwacheni maza afanye kazi yake muda ni wake
 
Msimpangie Rais cha kusema, mwendazake mbona alikuwa anaponda watangulizi wake kila siku?? Kwanza alisema yeye ni jiwe, haambiliki, hasikilizi wala hashauriki. Pengine hii ndio sababu wasaidizi wake walishindwa kumwambia ukweli.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna shida yoyote atakayoipata...

Kipindi Rais wa awamu ya Tano alivyokua anamponda Rais wa awamu ya nne alipata shida yoyote kwani...
 

kama hujui wakemia wanaingiaje kwenye utabibu hilo nalo ni tatizo la elimu uliyoipata.

mpaka sasa kuna chanjo za corona zaidi ya 9 na hakuna hata moja ambayo imeonyesha matumaini ya kupokelewa 100%,sababu ni sifa zile zile za kirusi kuwa hakieleweki kama kilivyo kirusi cha ukimwi.

wataalamu wa kibongo,sijui kama mnafahamu hata ni ugonjwa gani unaongoza kwa kuangusha watu kwa siku,mwezi au mwaka,ili chanjo itafutwe.
 
Angekua anasikiliza wengine, yasingekuwa hivyo leo.
 
Acha upumbavu wewe
 
Mmaoanzisha nyuzi za kumtetea hayati Magufuli ni kama mmapoteza muda. Alikuwa kiongozi mbovu sana hata bibi kizee analijua hilo.
 
Shujaa wa Africa
 
 
Ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…