Kikowapi kizazi cha Albert Einstein nguli wa falsafa?

Angekuwa mweusi angepigwa chini na weusi wenzake kwani hawapendi ukweli. Angalia alisahau mambo ya familia ili alete maendeleo ya Dunia. Niwashauri hasa wakristu, huyu ndiye anastahili kuitwa "mtakatifu"
 
Tesla ni mwanasayansi aliyefanya mahesabu ya kusafirisha umeme bila kutumia wire. Alipokufa hakuna hata mwanasayansi mmoja aliyeweza kuprove hesabu zake hadi leo
 
Binafsi ni mfuasi wa life la huyu jamaa nikisoma wasifu wake adi najishangaa jamaa alikua nondo Balaa asa nimejiuliza kizazi chake bado kipo? Je imetokea specie nyingine kama yake? Vipi taarifa zake zipo?
Mbona mimi nipo na unijui
 
Sisi huku CCM TUNATAFUTA MAJINIASI WA UCHAWA ILI TUWALAMBISHE ASALI
 
Mkuu watu bado wanaendelea kuvumbua na kuchallenge hadi theory zao. Mfano kuna ugunduzi kuhusu black holes ambao una defy theory za Einstein.
Wagunduzi bado wapo na mambo yanaendelea kugunduliwa mkuu.
Sema kwa sasa hivi wanategemea sana mitambo na mahesabu ya kompyuta na team working za wanasayansi
 
Angekuwa mweusi angepigwa chini na weusi wenzake kwani hawapendi ukweli. Angalia alisahau mambo ya familia ili alete maendeleo ya Dunia. Niwashauri hasa wakristu, huyu ndiye anastahili kuitwa "mtakatifu"
HUKU CCM TUNATAKA WANASANYANSI WALAMBA ASALI TU NA MAPROFESA MACHAWA sasa kama wewe ni profesa chawa nyosha mkono juu tukulambisha asali ili tukutumie kwenye korasi ya wimbo wetu wa machawa wa" mama anaupiga mwingi"
 
Alikimbia kutoka Ujerumani kwenda Uswisi na aliweka makazi katika mji wa Bern
 
Thomas edson aliiba patent zake mkuu nadhani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…