Kikosi Maalum cha kuzui uhalifu!

Kilinzibar

Senior Member
Mar 6, 2008
124
1
Polisi ivi karibuni wametangaza kikosi maalum cha kuzui uhalifu na kutoa namba

ndeeefu kweli za kupiga, wamedai ukipiga tu jamaa wako fasta mara moja

wanatokea kwenye tukio...sasa hii inamanisha zile namba za dharula kwisha

kazi au? na ina manisha kuwa kabla ya kuanzishwa kwa kikosi hicho ina maana

kulikua hakuna emergency respond? basi wawambie na ndugu zao wa zima

moto wanzishe kikosi pia.....
 
Hata mimi nilishangazwa. Yaani wameunda kisosi ambacho kinafanya kazi ya kawaida ya Polisi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom