Kikosi kazi au Weusi ndiyo wameua?

Hakuna art kwenye kazi ya Kikosi.
Bila kujali maudhui, watu wa2 tu eameutendea haki: Pmawenge na Zaiid.

Weusi washavuka stage ya battle na undergrounds. Wako focused kutengeneza kazi zinazolika na jamii ya Tz na nje.

Huyu bro Nikki aisee ni skio lisiloskia dawa. Habadiliki. Flow yake ya kidwanzi kama kalevywa na chibuku. Game ishamkataa.

Kwenye hilo kundi hakuna chemistry ndo maana wataendelea kukosea. Kundi zuri lingeweza undwa na: (Wakazi, Oneincrdbl), (Zaiid, Pmawenge), (Nikki Mbishi na huyu jamaa aloanza kuchana +Songa) ila ukidhamchanganya Nikki na P tu unaharibu ladha, watu wanakumbuka diss ya P kuliko hata kukoncentrate na wimbo wao
 
KKK wamepaniki. Hawawezi kuwafikia Weusi kabisa. Bado wanasafari ndefu Sana. Hata mziki wao bado ni ki-underground Sana. Wakaze Sana Weusi wako mbali Sana .
Endelea kusikiliza mchele na Gele rap bado ngumu kwako . Imani yangu Ni kwamba ukitoka hapo utahamia kwenye Trap . Bado kichwa chako hakiwezi kuhimili Punchlines.

Walichokifanya Kikosi Kazi Ni zaidi ya Diss unaweza kuita maangamizi ya halaiki
 
Hakuna ngoma hata moja ya member yoyote wa KKK inayoifikia vigezo ya track ya Joh-mchele.

Trap ni hip hop. Hata yule aliyeimba wowowo ni trap , Hata Songa anazo trap song.

Punchlines Tz anaongoza Fid q akifuatia Joh . Nitajie member wa KKK mwenye Punchlines kuwazidi Weusi ?

KKK wamekamia Sana kwenye hiyo diss. Lakini bado ni iko average .Ngoja tuone Weusi watakujaje Kama watataka kuwajibu.

All in all hao KKK wanataka kick kupitia Weusi ambao mpaka mtoto mdogo anajua Weusi ni nani .
 
Joh gan unamzungumzia huyu aliyeimba wanaandika punchlines sisi tuatengenesa hit songz au huwa humsikilizi hata yeye mwenyew anakataa hafanyi punchlines

kwa maelezo yako inaonekana unasikiliza upande mmoja tuh ila ukweli tamaduni ndio wanaongoza kwa punchlines muda wote tz
 
Joh gan unamzungumzia huyu aliyeimba wanaandika punchlines sisi tuatengenesa hit songz au huwa humsikilizi hata yeye mwenyew anakataa hafanyi punchlines
"wanaandika punchlines sisi tunaatengeneza hit songs"

hiyo Bar moja ya Johmakini ni punch line huenda hujajua huo mstari unamaanisha nini na huenda hujui maana ya punch line.
 
Hakuna ngoma hata moja ya member yoyote wa KKK inayoifikia vigezo ya track ya Joh-mchele.

Trap ni hip hop. Hata yule aliyeimba wowowo ni trap , Hata Songa anazo trap song.

Punchlines Tz anaongoza Fid q akifuatia Joh . Nitajie member wa KKK mwenye Punchlines kuwazidi Weusi ?

KKK wamekamia Sana kwenye hiyo diss. Lakini bado ni iko average .Ngoja tuone Weusi watakujaje Kama watataka kuwajibu.

All in all hao KKK wanataka kick kupitia Weusi ambao mpaka mtoto mdogo anajua Weusi ni nani .
We jamaa bhana! Umenifanya nicheke sana!

Kwanza tambua kila wahusika wameamua kufanya kile ambacho wamekipenda wamechagua kufanya sanaa ya kikwao au ya kivyake. KKK tangu awali wameamua kufanya sanaa ambayo wao wameichagua na Weusi wameamua kufanya sanaa ambayo wao wameichagua. Kwa hiyo ni suala la maamuzi na hakuna jengine!

Na unavyosema ngoma ya Mchele haifikii vigezo ngoma hata moja kwa kigezo kipi? Labda cha video! Lakini kiuandishi Joh hamfikii hata Young Killer!

Kingine KKK tayari wanafahamika kivipi sasa wahitaji kiki? Halafu baada ya Fid anafuata Joh kwa punchline? Unamfahamu Mex Cortez wewe? Uwezo wa One the Incredible una uweka sawa na Joh? Nikki Mbishi naye? Haina Ngwasu ya Stereo unaipata wewe? Hata kwa P Mawenge na kwa Songa Joh haingii tukiweka hisiya pembeni tukiacha fact ziongee!

Scars
 
"wanaandika punchlines sisi tuatengenesa hit songs"

hiyo Bar moja ya Johmakini ni punch line huenda hujajua huo mstari unamaanisha nini na huenda hujui maana ya punch line.
Mada ya nyongeza, nawapoteza kwenye map
Weusi mkicheza Malcolm atawaelekeza kurap.

Nikifoka hawafoki, hatari wanagwaya
Nikki ni Mbishi, Mpoki ni bepari wa Kihaya

Nikki Mbishi robocop, nawakosoa ma MC wanaopodoa maandishi mithili ya Photoshop
 
We jamaa bhana! Umenifanya nicheke sana!

Kwanza tambua kila wahusika wameamua kufanya kile ambacho wamekipenda wamechagua kufanya sanaa ya kikwao au ya kivyake. KKK tangu awali wameamua kufanya sanaa ambayo wao wameichagua na Weusi wameamua kufanya sanaa ambayo wao wameichagua. Kwa hiyo ni suala la maamuzi na hakuna jengine!

Na unavyosema ngoma ya Mchele haifikii vigezo ngoma hata moja kwa kigezo kipi? Labda cha video! Lakini kiuandishi Joh hamfikii hata Young Killer!

Kingine KKK tayari wanafahamika kivipi sasa wahitaji kiki? Halafu baada ya Fid anafuata Joh kwa punchline? Unamfahamu Mex Cortez wewe? Uwezo wa One the Incredible una uweka sawa na Joh? Nikki Mbishi naye? Haina Ngwasu ya Stereo unaipata wewe? Hata kwa P Mawenge na kwa Songa Joh haingii tukiweka hisiya pembeni tukiacha fact ziongee!

Scars
Nakubali kila kundi limeamua kufanya namna ambayo wameona itawafaa. Hii imewacost Sana KKK ,Ndo maana bado wanaonekana ma-underground(hawafahamiki kivile, mziki wao hauna impacts kwenye jamii kubwa ya watanzania)

We jamaa Mchele ni ngoma kubwa Sana. Sijui unailinganisha na wimbo gani wa msanii kutoka KKK?

Unamfananisha Joh na Young Killer kiuandishi? Bro are you serious?

Mkuu KKK wanafahamika na sisi wachache Sana . Ila Weusi hata mtoto mdogo kule Sitimbi anajua Weusi ni nani.

Narudia tena hakuna member wa KKK anaufikia uwezo wa Joh kiuandishi na hata flow.
 
Hapo umedanganya sasa au labda hauwajui Kikosi Kazi
 
Unamfananisha Joh na Young Killer kiuandishi? Bro are you serious?
Unaangalia age au uwezo? Unafikiri ni kwa nini mpaka Niki wa 2 alisema Young Killer anaandikiwa? Au YK umeanza kumfahamu wapi kwanza? Dear Gambe unaipata? Killer ukisikia nyimbo zake za Tamaduni unakataa kama dogo anaandika hivyo! Inshort YK akiamua kuchafukwa anachafukwa. Unamjua Killer wewe?

"Asiyejua uwezo wangu wa kuflow huniomba verse
Ili aweze kujua nna control nzito ama nyepesi"

We jamaa Mchele ni ngoma kubwa Sana. Sijui unailinganisha na wimbo gani wa msanii kutoka KKK?
Ukubwa wake upo kwenye nini ukitoa video?

Mkuu KKK wanafahamika na sisi wachache Sana . Ila Weusi hata mtoto mdogo kule Sitimbi anajua Weusi ni nani.
Pengine hujui labda.
KK kazi zao hawakuanza kuzitawanya kwa kupitia radio station! Bali walianza kwenye mitandao ya kijamii na Kilingeni. P the Mc kafahimika kwa kupitia SM, One+Nikki Mbishi+ kwa ufupi Tamaduni Music wote wamefahamika kwa kupitia SM na Kilingeni. Tofauti na Weusi ambao unawazungumzia ambao kufahamika kwao ni kwa sababu ya radio Mawingu. Kwa hiyo ni kila mtu alichagua soko lake alipeleke wapi! Ijapokuwa hawafahamiki kwa watoto lakini wanafahamika takribani Tz yote ukizungumza kuhusu Hip Hop.

Plus angalia aina ya mziki wanaoufanya ni Hip Hop ngumu na bado wamejulikana. Na radio station lina soko lake la mziki ambao unajulikana, laiti KK wangeliamua kufanya mziki ambao wanaoufanya Weusi na wangechagua njia ambayo waliyochagua Weusi kufikisha mziki wao wangelikuwa mbali zaidi ya Weusi kimifano ambayo mnatolea ninyi.

Ndiyo maana Ruge alimwambia Nikki atulie wafanye biashara, na Babu Tale alimwambia anamtaka yule Nikki aliyeimba Playboy. Hao wote ni wadau wa muziki, wanafahamu walichonacho Tamaduni ni nini!Isipokiwa majamaa wamechagua kufanya mziki wanaoutaka wao na kwa njia ambazo wanaamini kwamba wao watafika. Hata nyimbo zao kupigwa kwenye radio ni baada ya watangazaji wenyewe kusema wamechoka kuzisikiliza peke yao ghetto, jamii ione jamaa ni nini wanachokifanya.

Narudia tena hakuna member wa KKK anaufikia uwezo wa Joh kiuandishi na hata flow.
Unafahamu ngoma zao ngapi? Na uziorodheshe. Isije ikawa unabisha kwa kitu ambacho haukijui.
 
Unaangalia age au uwezo? Unafikiri ni kwa nini mpaka Niki wa 2 alisema Young Killer anaandikiwa? Au YK umeanza kumfahamu wapi kwanza? Dear Gambe unaipata? Killer ukisikia nyimbo zake za Tamaduni unakataa kama dogo anaandika hivyo! Inshort YK akiamua kuchafukwa anachafukwa. Unamjua Killer wewe?

"Asiyejua uwezo wangu wa kuflow huniomba verse
Ili aweze kujua nna control nzito ama nyepesi"

Ukubwa wake upo kwenye nini ukitoa video?

Pengine hujui labda.
KK kazi zao hawakuanza kuzitawanya kwa kupitia radio station! Bali walianza kwenye mitandao ya kijamii na Kilingeni. P the Mc kafahimika kwa kupitia SM, One+Nikki Mbishi+ kwa ufupi Tamaduni Music wote wamefahamika kwa kupitia SM na Kilingeni. Tofauti na Weusi ambao unawazungumzia ambao kufahamika kwao ni kwa sababu ya radio Mawingu. Kwa hiyo ni kila mtu alichagua soko lake alipeleke wapi! Ijapokuwa hawafahamiki kwa watoto lakini wanafahamika takribani Tz yote ukizungumza kuhusu Hip Hop.

Plus angalia aina ya mziki wanaoufanya ni Hip Hop ngumu na bado wamejulikana. Na radio station lina soko lake la mziki ambao unajulikana, laiti KK wangeliamua kufanya mziki ambao wanaoufanya Weusi na wangechagua njia ambayo waliyochagua Weusi kufikisha mziki wao wangelikuwa mbali zaidi ya Weusi kimifano ambayo mnatolea ninyi.

Ndiyo maana Ruge alimwambia Nikki atulie wafanye biashara, na Babu Tale alimwambia anamtaka yule Nikki aliyeimba Playboy. Hao wote ni wadau wa muziki, wanafahamu walichonacho Tamaduni ni nini!Isipokiwa majamaa wamechagua kufanya mziki wanaoutaka wao na kwa njia ambazo wanaamini kwamba wao watafika. Hata nyimbo zao kupigwa kwenye radio ni baada ya watangazaji wenyewe kusema wamechoka kuzisikiliza peke yao ghetto, jamii ione jamaa ni nini wanachokifanya.

Unafahamu ngoma zao ngapi? Na uziorodheshe. Isije ikawa unabisha kwa kitu ambacho haukijui.
Young Killer nampata tangu anatoka. Style ya uandishi wake ni comedy tu kwangu. Huwezi kabisa kufananisha na lines za Joh.

Kama huoni ubora wa wimbo wa mchele, aisee hujui mziki . We jamaa mbishi Kama Nikki.

Hata Joh ametokea vilingeni . Ubora wa flow na uandishi ndo unafanya awe mainstream. Sio clouds tu radio zote TZ zilikuwa zinapiga mziki wa Joh. Kwa hiyo Joh anabebwa na radio zote ?

Kufanya hip hop ngumu hata Fid q anafanya na ametoboa . Suala hapa ni ubora wa mziki ndo unakutoa . KKK waache visingizio watoe kazi Bora wataona mafanikio.

Nawafahamu KKK Sana . Nafuatilia mziki wao. Mimi mdau wa bongo hip Hop. Kutaja nyimbo zao ni swali la kiwaki Sana kwangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom