Kikosi cha uokozi

KAKA A TAIFA

JF-Expert Member
Apr 27, 2011
566
80
Mpaka leo tanzania haina kikosi maalumu cha ukozi wa dharura aidha cha nchi kavu ,majini au angani.mfano jana giza lilipo ingia shughuli za uokozi zikasitishwa,je mtu gani atahimili kukaa majini akisubiri kuokolewa mpaka asubuhi,yaani baada ya
masaa 24.udhaifu udhaifu.............................................udhaifu
 
Back
Top Bottom