Kikosi cha Simba

mtanzania1989

JF-Expert Member
May 20, 2010
3,825
2,000
Kwanini ampeleke yanga wakati wa simba
Yanga hawana mtu mwenye assist za upendo kama Chama, hivyo ni rahisi kuona mshambuliaji mfu, Simba ya chini ya Chama walikuwa wanatengeneza nafasi nyingi hivyo hata avarage mshambuliaji ni vyepesi kuwika, muda ni mwalimu mzuri, hadi December utashangaa performance ya washambuliaji wa Simba imeshuka kumbe wameanikwa kutokana na kukosekana Chama.
 

Che mittoga

JF-Expert Member
Mar 28, 2017
6,334
2,000
Huyo ni Simba kindaki ndaki kabisa msimkatae mwenzenu@Che mittoga kapelekwa Utopolo kwa mkopo
Over my dead body.

Mi nilikuwa natoa maoni yangu kama shabiki.
Inonga Baka namwona hana nguvu za kutosha za kupambana kama akina Unyango na Wawa.

Ila natumaini kocha amemwona na atampa programu za kuwa mkakamavu.

Hata Larry Bwalya alikuja akiwa sio imara sana, sasa hivi kaimarika sana ki stamina.
Mfano mwingine ni Fraga.

Kumbuka kuna mechi kama na Prizon na Azam, KMC, na Yanga zinahitaji nguvu za kutosha kama beki.

Over my dead body kushabikia Yanga.
 

Gucci gang

JF-Expert Member
Jan 7, 2018
1,201
2,000
pote Simba iko poa,ila strikers ni mashaka makubwa. wangeleta japo Phiri Moses
Kama ndo yule wa zanaco basi kwa kweli anafaa

Utaputapu kama 3000 hivi walilamba nyasi pale kwa mkapa iles siku

Sio mbaya dirisha lijalo tupo nae

This is simba bwana

Nakumbuka na kipa wa utaputapu aliokoa save akawainua mashabiki washangilie
Kapumbu akaimbisha
 

ilala yetu

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
707
1,000
pote Simba iko poa,ila strikers ni mashaka makubwa. wangeleta japo Phiri Moses
For my point of view nadhani striker ndo tuko sawa sana sababu hakuna alietoka na kaingia kibu,,
Phiri ni mzuri ila style of play ni kama kibu tu sema kibu ana lack exposure na tough match nyingi za kumjenga aweze kujiamini.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom