BRN JF-Expert Member Joined Nov 18, 2013 Posts 5,476 Reaction score 7,029 May 15, 2018 #1 wadau baada ya lile onyo la kipigo cha mbwa koko, leo lingine limetolewa onyo kwa wale wanaume ambao hupata ugonjwa wa kikohozi pale wanapoona mwanamke aliyejaaliwa chura akikatiza mbele yao. Je tutasalimika kweli..ama kweli yajayo.... .
wadau baada ya lile onyo la kipigo cha mbwa koko, leo lingine limetolewa onyo kwa wale wanaume ambao hupata ugonjwa wa kikohozi pale wanapoona mwanamke aliyejaaliwa chura akikatiza mbele yao. Je tutasalimika kweli..ama kweli yajayo.... .
DiasporaUSA JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 24,049 Reaction score 30,954 May 15, 2018 #2 Pambana na tamaa zako
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,367 Reaction score 55,054 May 15, 2018 #3 Mmh Utashitakiwa kwa kosa la kuumwa kikohozi kikavu mbele ya Mwanamke. Hahahaha
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 159,197 Reaction score 777,923 May 16, 2018 #4 Koh koh koh, ni shambulizi la aibu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kaaaazi kweli kweli