Tetesi: Kikoba Cha Taifa kinakaushwa

Tetesi: Kikoba Cha Taifa kinakaushwa

Kipindi alipofariki JPM, Zitto alipiga kelele kuibiwa pale BOT dhahabu, vipi baada ya kushika usukani mtawala mpya, walifanikiwa kuzirudisha?
 
Na jeshi lipo tu. Mimi nalaumu sana hili jeshi. Hata sioni kazi yake
 
Kuna Habari mbaya watesi wetu wanaiba pesa za akiba ya Taifa

Magenge yanahamisha pesa miamala kwa miamala kwa kujiandaa kuondoka

Tuliombee Taifa pesa zinachotwa mabilioni kwa mablioni
Acheni uvumi

Mama Samia Na Jakaya kikwete Forever!

Join the movement NOW!
 
Kuna Habari mbaya watesi wetu wanaiba pesa za akiba ya Taifa

Magenge yanahamisha pesa miamala kwa miamala kwa kujiandaa kuondoka

Tuliombee Taifa pesa zinachotwa mabilioni kwa mablioni
CCM wameiuza Tanganyika yetu utumwani Zanzibar.
 
Uzuri Bank Kuna Miamala 2 Kuingia na Kutoka.
Time will Tell, Hao wote watalipa wao na Familia zao kwa gharama kubwa
 
Back
Top Bottom