Tetesi: Kikoba Cha Taifa kinakaushwa

Tetesi: Kikoba Cha Taifa kinakaushwa

Kuna tetesi za akiba ya Taifa kutafunwa
Magenge yanahamisha pesa miamala kwa miamala kwa kujiandaa kuondoka

Tuliombee Taifa pesa zinachotwa mabilioni kwa mablioni
Wanachotaje?
Wanachukua BOT?
Kwani watumishi wa BOT na Gavana wanaacha kazi?

Eleza vixuri msituongezee DHAMBI tuna hasira tutaanza kufoka bure
 
Kuna tetesi za akiba ya Taifa kutafunwa
Magenge yanahamisha pesa miamala kwa miamala kwa kujiandaa kuondoka

Tuliombee Taifa pesa zinachotwa mabilioni kwa mablioni
Acha bwana ni rahisi kiasi hicho? kumbuka kwenye interest ya Nchi hasimami mtu mmoja maana ingekuwa hivyo BALALI angenyoka na BOT yote.
 
Kuna tetesi za akiba ya Taifa kutafunwa
Magenge yanahamisha pesa miamala kwa miamala kwa kujiandaa kuondoka

Tuliombee Taifa pesa zinachotwa mabilioni kwa mablioni
Wakuu pazeni sauti tuokoe nchi
 
1752057606084.jpg
 
Back
Top Bottom