Robert Heriel Mtibeli JF-Expert Member Joined Mar 24, 2018 Posts 39,251 Reaction score 91,132 Dec 29, 2025 #1 Hamjambo! Kwa yeyote anayejua anijibu Hilo swali hapo juu. Itapendeza wafuasi wa chaumma wakiwa mstari wa mbele kujibu. Natanguliza shukrani
Hamjambo! Kwa yeyote anayejua anijibu Hilo swali hapo juu. Itapendeza wafuasi wa chaumma wakiwa mstari wa mbele kujibu. Natanguliza shukrani
M mkulimamiwa JF-Expert Member Joined Mar 4, 2025 Posts 2,533 Reaction score 5,097 Dec 29, 2025 #2 Waulize Chama cha kigaidi ccm wenzako
0 004 JF-Expert Member Joined Sep 12, 2024 Posts 1,818 Reaction score 2,689 Dec 29, 2025 #3 Hivi na MREMA wa CHAUMMA anapokea ruzuku kiasi gani toka CCM?
Papushikashi JF-Expert Member Joined Feb 28, 2016 Posts 11,539 Reaction score 14,283 Dec 29, 2025 #4 vp na mwalimu toka Mo29 yupo kweli ?
Mto wa mbu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2021 Posts 4,494 Reaction score 11,309 Dec 29, 2025 #6 Sema MO29; imefutilia mbali takataka nyingi,,Leo hii Catherine Ruge,Susana Kiwanga,,Stevin wasirra ,John Mrema wanaogopa kutoa kichwaa
Sema MO29; imefutilia mbali takataka nyingi,,Leo hii Catherine Ruge,Susana Kiwanga,,Stevin wasirra ,John Mrema wanaogopa kutoa kichwaa
Tindo Platinum Member Joined Sep 28, 2011 Posts 71,481 Reaction score 128,114 Dec 29, 2025 #7 Mto wa mbu said: Sema MO29; imefutilia mbali takataka nyingi,,Leo hii Catherine Ruge,Susana Kiwanga,,Stevin wasirra ,John Mrema wanaogopa kutoa kichwaa Click to expand... Peter Msigwa, Zito, Halima Mdee nk wanaona aibu vibaya, maana kilichotokea 29 imekuwa kama game changer, na wao ni kama wamepishana na gari la mshahara.
Mto wa mbu said: Sema MO29; imefutilia mbali takataka nyingi,,Leo hii Catherine Ruge,Susana Kiwanga,,Stevin wasirra ,John Mrema wanaogopa kutoa kichwaa Click to expand... Peter Msigwa, Zito, Halima Mdee nk wanaona aibu vibaya, maana kilichotokea 29 imekuwa kama game changer, na wao ni kama wamepishana na gari la mshahara.
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,348 Reaction score 83,303 Dec 29, 2025 #8 Chauma imeanza kupata ruzuku na Ina wabunge 03.
Bengal JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 26,118 Reaction score 28,508 Dec 29, 2025 #9 Robert Heriel Mtibeli said: Hamjambo! Kwa yeyote anayejua anijibu Hilo swali hapo juu. Itapendeza wafuasi wa chaumma wakiwa mstari wa mbele kujibu. Natanguliza shukrani Click to expand... Kimezikwa pamoja na kile cha ushindi 98%
Robert Heriel Mtibeli said: Hamjambo! Kwa yeyote anayejua anijibu Hilo swali hapo juu. Itapendeza wafuasi wa chaumma wakiwa mstari wa mbele kujibu. Natanguliza shukrani Click to expand... Kimezikwa pamoja na kile cha ushindi 98%